Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Kuna akina mama ni wapuuzi sana. Anaongea na binti yake as if anaongea na shost yake. Hajui yale maneno yanamuharibu akili.
Wanawake ni kuwa nao makini sana. Especially hawa wanaolelewa na mama pekee ni wachache sana wanakuwa na akili sawa kichwani ila wengi wao wana akili za bangi na wanakuwa mahasidi na vitendo vyao ni vya kitoto sana.
Mimi nikishaona tu hizo dalili huwa nawatenga sitaki kuwasikia na kama ni mtu anaanza nae huwa nashauri aaachane nao.....
Ndio maana huwa nasema kuachana sio uwanja wa vita baina ya wawili waliojaliwa kupata watoto. Kuna baadhi ya wakiachana yule anaepata fursa ya kuwa karibu zaidi na mtoto kimalezi anatumia fursa hiyo kumjaza mtoto sumu dhidi ya mzazi mwenzake akidhani kuwa anajisafisha ili mtoto asione kuwa huenda yeye ndio chanzo cha wazazi kuachana. Uhalisia ni kuwa anamjenga mtoto vibaya mno na hiyo hali hadi mtoto aje aujue ukweli inamchukua mda sana matokeo yake ndio kama haya kisa mama kaachika basi anamjaza maneno ya sumu mwanae wa kike mwsho wa siku nayeye anaona hakuna haja ya kuja kuolewa na kutulia na familia yake.