Mapenzi ni 2 way traffic, stop being bitter

Mapenzi ni 2 way traffic, stop being bitter

Una miaka mingapi kwa sasa?!

Maana nataka tukuhesabie hadi ukifika 28 tu tayari huu utoto utakuwa umekwisha....
Si mmeshakariri ndiyo maana! Mimi siyo wa kwanza na wala sitakuwa wa mwisho na ndiyo maana nikakuambia kitu kama haujawahi kukiona wala kukisikia haimaanishi hakipo!
 
kuamua kukaa nje ya mahusiano ni swala La Umri?
Hawa ndiyo wale waliokariri kwamba kukuwa kiumri ndiyo kukuwa kiakili! Wanajifanya hawajui kwamba kuna watu wazima ila ni wapumbavu na kuna watoto wadogo ila ni werevu yaani wanalazimisha kila kitu kwenye maisha kiwe na kanuni moja!
 
And that is exactly the point! Wanaume mnaolalamika kuhusu haya mambo ni wale ambao hamna hela au mna hela za mawazo na ndiyo maana hapo umewataja kina Mo na Bakhresa kwamba ndiyo wanafaa kutoa pesa!

Again unajicontradict mwenyewe kuwa the issue siyo itikadi bali ni changamoto ya pesa! Usijali tafuta pesa ukiwa nazo utatoa tu na wala hautakaa unalalamika na kuwalaumu wanawake kwa mambo madogo kama haya!
Hahahah ujue huwa unanifurahishaga sana we binti. Hivi kwanini kila mkishindwa hoja mnawavika watu taji la umaskini...Oh tafuta pesa! Bila pesa ningekuwa hata na simu ya kutype hizi comment? Hebu acheni visingizio visivyo na mantiki.
 
Wanaume wengi hamtaki kujitoa ila mnataka wanawake ndiyo wajitoe zaidi kwenu! Kama unabisha hili ni mara ngapi wanaume wenzio wanaambiana eti "kwenye mahusiano hakikisha mwanamke ndiyo anakupenda sana siyo wewe mwanaume ndiyo umpende sana" how does that sound?
Unapozungumzia wanaume hawajitoi wewe hukuwa na baba au hujawahi kupata malezi ya baba nini? Isije ikawa tunahangaika kukuelewesha muhanga wa malezi ya single mom.
 
And that is exactly the point! Wanaume mnaolalamika kuhusu haya mambo ni wale ambao hamna hela au mna hela za mawazo na ndiyo maana hapo umewataja kina Mo na Bakhresa kwamba ndiyo wanafaa kutoa pesa!

Again unajicontradict mwenyewe kuwa the issue siyo itikadi bali ni changamoto ya pesa! Usijali tafuta pesa ukiwa nazo utatoa tu na wala hautakaa unalalamika na kuwalaumu wanawake kwa mambo madogo kama haya!
Mwanamke wangu nampa pesa na yeye ananipa nikihitaji. Wewe huwezi kumpa mwanaume wako pesa sababu ya ill metality. Badilika usikimbilie kuwavika watu mataji ya umasikini coz haitakusaidia. Huwa mnakimbilia "tafta pesa" mkiishiwa hoja.😂😂😂
 
Kuuliza swali nayo ni njia mojawapo ya kujibu swali! Hivyo nimeona nitumie njia hiyo ili tusizunguke sana tukapotezeana muda!
Jibu ulichoulizwa acha maswali.😂
 
Si unaona sasa! Basi acheni black women tuwahandle kiblack black tu hakuna namna tutawapeleka sawa na mawazo yenu hadi hapo mtakapoamua kubadilika!

Kumbe kumheshimu mwanamke ni uchoko! Aiseee nahisi nina mengi ya kujifunza bado!
Mwijaku is fooling on u ladies! Yule ni Socialite sasa nyie endeleeni kumuamini msanii 😂😂😂
 
Hahahah ujue huwa unanifurahishaga sana we binti. Hivi kwanini kila mkishindwa hoja mnawavika watu taji la umaskini...Oh tafuta pesa! Bila pesa ningekuwa hata na simu ya kutype hizi comment? Hebu acheni visingizio visivyo na mantiki.
Kwahiyo wewe kuwa na pesa ni kuwa na uwezo wa kumiliki simu za kutype hizi comments? Duuh kweli ifikie kipindi wanaume wenye akili tu ndiyo waoe!
 
Kama ni kwenye matatizo hapo mbona tutaelewana vizuri utasaidiwa vizuri ninachopinga mimi ni kutaka mwanamke naye atoea SAWA SAWA na unavyotoa wewe duuh! Halafu kumbuka kuna wanaume huwa wanafilisika sababu ya kuhonga kwa michepuko ila hao nao watatumia kichaka cha tajiri amechelewa kuingiza mshahara ili mke ampige tafu hii nayo imekaaje?
Thats was what i was talking about, hii ndio msingi wa mada. Sielewi kwanini ulikuwa unakaza ubongo mda wote huo.
Kuhusu hilo la mwisho hio ni case ya uongo. Inategemea mpaka uwe na ushahidi.
 
Unapozungumzia wanaume hawajitoi wewe hukuwa na baba au hujawahi kupata malezi ya baba nini? Isije ikawa tunahangaika kukuelewesha muhanga wa malezi ya single mom.
Woii naongelea mwanaume kujitoa kwa mke wake na siyo kwa watoto si unaona sasa unavyochanganya madesa? Kwa bahati nzuri baba yangu hanaga itikadi za kutaka kushindana na mama kwenye kutoa pesa sababu anajua ni jukumu lake mama anatoa tu kwenye mambo madogo madogo!
 
Sasa kama hauishi hivyo mbona bado una imani ya kuwa kazi za ndani ni za mwanamke tu wakati hayo ni kwa mujibu wa biblia? Kwahiyo na wewe tukuite mvivu tu si ndiyo?
House chores corresponds to the woman of the house. How can i act single while im damn married to a wife. An assistant and a life patner.
 
Woii naongelea mwanaume kujitoa kwa mke wake na siyo kwa watoto si unaona sasa unavyochanganya madesa? Kwa bahati nzuri baba yangu hanaga itikadi za kutaka kushindana na mama kwenye kutoa pesa sababu anajua ni jukumu lake mama anatoa tu kwenye mambo madogo madogo!
Kwani baba yako alikuwa anambagua mama yako? Or whats up? Kumbe mama yako alikuwa anamsaidia pia ..Taratibu tu tutaelewana
 
Ndiyo maana nikakuambia inategemea na tabia za mwanaume! Wanawake siyo kuwa hatupendi kutoa ila wanaume wengi siku hizi mmejisahau sana!
Kujisahau kivipi yani? Ina maana we mwanaume utaemsaidia ni yule mwenye tabia za malaika tu ryt! Sidhani kama kuna mwanaume wa dizaini hio. Komaa katika usingle unaweza kumbahatisha wa hivyo siku moja.
 
Kwanini itegemee na mwanamke? Kwanini usianze wewe kumpa mipango yako then ndiyo uone kama na yeye ni generous au mbinafsi tu?
Sasa kwani akili ya mwanamke kilaza si inajulikanaga mapema sana tu. Huhitaji degree bali masaa machache tu ya kumsikiliza kimtokacho kinywani mwake.
 
Sasa wewe unaongelea matatizo kwenye tatizo kama hilo ni sawa mwanamke anatakiwa akusaidie! Ila tangu mwanzo ulikuwa unasema mwanamke awe anatoa pesa sawa na wewe ambavyo unatoa hapo unakuwa umezingua!
Heheheh wapi hapo mlimbwende? All that story imeegama kwenye hiari ya mwanamke kutoa tu kumpa mpenzi wake in occassions. Sio mambo ya ubinafsi tu maana mwanamke ambaye unamhudumia nae pia anapaswa awe mtu wa kujiongeza.
 
Tatizo mnalalamika sana humu hivyo mnaleta mixed signals! Tumezoea wenye pesa huwa hawalalamikii vitu vidogo kama hivi!
Hivi kwanini mkiishiwa hoja mnapenda kuingiza habari ya pesa. Kuna mtu kasema hana hela humu?😂😂😂 Tulieni dawa iwaingie acheni janja janja. JF hamna maskini humu.
 
Siyo kwamba sipendi kufanya kazi za ndani ila si mambo kusaidiana bwana au vipi? Kingine hebu nipe andiko linaloruhusu mwanaume kuwa na mwanamke zaidi ya mmoja naomba usinipe story za kina Mfalme Suleiman tafadhali kwa sababu ukinipa hizo na mimi nitakupa za Mtume Paulo!
Hapa hamna maswala ya mitume. Huko tutafungulia uzi mwingine. We ni mvivu tatizo. Halafu mwanamke kuwa mvivu haipendezi, sasa ukijaaliwa mapacha wa 3 siku moja utafanyaje. Maana hapo mtoto wala familia huna ila mvivu kichizi 😂😂😂
 
Kwahiyo wewe kuwa na pesa ni kuwa na uwezo wa kumiliki simu za kutype hizi comments? Duuh kweli ifikie kipindi wanaume wenye akili tu ndiyo waoe!
Sasa ulitaka nitaje mali zangu zote humu jukwaani au!? 😂😂😂 Hebu kuwa serious kidogo. Najua una uvivu wa kufanya kazi za ndani ila usifikie kwenye uvivu wa kufikiria pls.
 
Back
Top Bottom