Unajua wanawake huwa katika hii mijadala mnatabia ya kubadili badili hoja ili mradi muonekane mpo right.
Topic hapa inahoji tabia ya mwanamke kutojitoa katika mahusiano sio mwanaume kumhudumia mwanamke.
Me sijaona uhusiano mwanaume awe na hela ya uhakika halafu asimhudumie mwanamke wake hapo kutakuwa na tatizo ila its natural mwanaume ni mtoaji kiukweli na hilo nadhani unajua maana wanaume huwa ni waungwana wanatoa hata kuzidi akiba na uwezo wake ili tu kupata attention ya huyo mwanamke na huishia kudharauliwa.
Rudi kwenye hoja, swala la mwanamke kuwa msaada kwa mwanaume ambae amechacha hana mbele wala nyuma, yeye kumsapoti in the name of true love, wewe kwako imekaaje?!
Unaweza pendana na mwanaume ambaye hana kitu yupo at his lowest based on life difficult circumstances ambazo zipo nje ya uwezo wake kuzicontrol?!