Yeah nami nimekwishaliona hilo andiko mkuu, ingawa pia kuna zile amri za Mungi ile ya tatu inasema Waheshimu Baba na mama yako ili siku zako zipate kuwa......Hiyo ni nature mkuu, na ndiyo ukweli wenyewe hatuna namna ya kupingana nao. Niliwahi kuona andiko mahali fulani linasema Mwanaume ataachana na ndugu zake, naye ataambatana na mkewe nao watakuwa mwili mmoja ...
Hapo kwenye bold inaonyesha wazi kuwa Mapenzi na mahusiano ni kitu complex, maana unaachana na wazazi na ndugu kwenda kuungana na rafiki! Na wengine hufikia hata hatua ya kutukana na kugombana na ndugu zao kwa sababu ya wapenzi, ni nature hiyo ndugu yangu!
Yeah nami nimekwishaliona hilo andiko mkuu, ingawa pia kuna zile amri za Mungi ile ya tatu inasema Waheshimu Baba na mama yako ili siku zako zipate kuwa......
Ila hii hali ya kufikia kutukana na kuwatimua wazazi wako kwasababu tu umeoa (Kwasababu hii hutokea kwa wanaume zaidi) hapo ndipo mi ninapoona huo ni ukichaa
Hahahahaa sijakutwa na lolote ndugu yangu ni tafakari tu
Sijaelewa sana lakini kama nimeelewa kidogo unataka kusema sasa hivi hupendi kama ulivyokuwa unapenda zamani?Lakini kweli mie nilivyo mpenda mumewangu mwanzo duh nilikua sisiki wala sioni mpaka nikawa najiona kama zuzu,siunajua warabu koko wanavyopenda kuoana mtoto wa shangazi kwa mjomba nikaletewa mtoto mjomba aniowe loo! nilimwambia
mwenzangu mie naona tutazaa nyani tuu bora wewe ujipange kama mke mie sikutaki tena nakusikia unanukaaa vibaya,
basi bwana mjomba alisema mpaka akajitia kazimia sijakubali,mpaka nimeolewa na nnae mtaka,kuna wakati mwengine natafakari lakini jibu sipati kwanini wakati ule nilikua vile sijui utoto...
Lakini kweli mie nilivyo mpenda mumewangu mwanzo duh nilikua sisiki wala sioni mpaka nikawa najiona kama zuzu,siunajua warabu koko wanavyopenda kuoana mtoto wa shangazi kwa mjomba nikaletewa mtoto mjomba aniowe loo! nilimwambia
mwenzangu mie naona tutazaa nyani tuu bora wewe ujipange kama mke mie sikutaki tena nakusikia unanukaaa vibaya,
basi bwana mjomba alisema mpaka akajitia kazimia sijakubali,mpaka nimeolewa na nnae mtaka,kuna wakati mwengine natafakari lakini jibu sipati kwanini wakati ule nilikua vile sijui utoto...
Shosti unahilo tuu au unajengine?Kiswahili lugha ya watu, kama wewe mwarabu koko ungetuandikia kiarabu tukatafuta mkalimani, labda tungeelewa zaidi. Rightly speaking lost in translation.
Unazaliwa ukiwa peke yako na kulelewa na wazazi na ndugu zako wa karibu kwahiyo kwa hali halisi ungetakiwa kuwapenda zaidi hao kuliko mtu mwingine yoyote.
Lakini unakua na kufikia stage ambayo unaingia kwenye mahusiano na mtu mwingine ambaye umekutana naye tu, unajikuta unampenda zaidi ya hao wengine wote, mtu anayeweza kukufanya ukalia usiku kucha, usilale wiki nzima, usiweze kula na kibaya zaidi ukaamua kusitisha maisha yako kwasababu ya mtu huyo tu.
Hivi hiki si ni kichaa?
Na ndio maana nasema ule wakati ambao mtu anakuwa ana act kiuchizi uchizi (nahisi wakati huo hata yeye huwa haelewi kama anakuwa ana act hivyo) ndio maana nikasema nahisi mapenzi ni kichaaThere are things you can't share with those you call ndugu including wazazi, and that's where complexity starts. Ila sijasema uwadharau/uwatukane/uwatimue wazazi kwa sababu hii. Ukifanya hivyo ujue unamjukiza Mungu. Kwa wakristo nadhani mnajua hii amri "waheshimu baba yako na mama yako ili upate baraka na kuishi miaka mingi hapa duniani". Hii ni amri ya kwanza yenye ahadi