EJM_
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 3,836
- 2,100
Unazaliwa ukiwa peke yako na kulelewa na wazazi na ndugu zako wa karibu kwahiyo kwa hali halisi ungetakiwa kuwapenda zaidi hao kuliko mtu mwingine yoyote.
Lakini unakua na kufikia stage ambayo unaingia kwenye mahusiano na mtu mwingine ambaye umekutana naye tu, unajikuta unampenda zaidi ya hao wengine wote, mtu anayeweza kukufanya ukalia usiku kucha, usilale wiki nzima, usiweze kula na kibaya zaidi ukaamua kusitisha maisha yako kwasababu ya mtu huyo tu.
Hivi hiki si ni kichaa?