Na ndio maana nasema ule wakati ambao mtu anakuwa ana act kiuchizi uchizi (nahisi wakati huo hata yeye huwa haelewi kama anakuwa ana act hivyo) ndio maana nikasema nahisi mapenzi ni kichaa
Hahahahaa sijakutwa na lolote ndugu yangu ni tafakari tu
Nakubaliana na wewe mkuu, lakini kinachonishangaza mimi ni pale ambapo hayo mapenzi yanapokuja explosively yanafanya mtu awe kichaa kabisaMapenzi kwa mzazi,ndugu ,mtoto,rafiki ni kitu tofauti kabisa na mapenzi kati ya mke na mme au gf/bf na wala hayalinganishiki.
Mapenzi kati yako na mzazi wako haya demand reciprocation,toto lako hata likusumbue vipi utalipenda tu ( nina uzoefu huo), lakini uvumilivu kati ya lovers kikawaida una limits.
Kumbuka wapenzi mnakutana ukubwani kila mmoja akija na malezi yake,it can be explosive yes,but it can also break into pieces kwa kitu kidogo tu.
Unazaliwa ukiwa peke yako na kulelewa na wazazi na ndugu zako wa karibu kwahiyo kwa hali halisi ungetakiwa kuwapenda zaidi hao kuliko mtu mwingine yoyote.
Lakini unakua na kufikia stage ambayo unaingia kwenye mahusiano na mtu mwingine ambaye umekutana naye tu, unajikuta unampenda zaidi ya hao wengine wote, mtu anayeweza kukufanya ukalia usiku kucha, usilale wiki nzima, usiweze kula na kibaya zaidi ukaamua kusitisha maisha yako kwasababu ya mtu huyo tu.
Hivi hiki si ni kichaa?
mkuu M'Jr HIYO NI AMRI YA NNEYeah nami nimekwishaliona hilo andiko mkuu, ingawa pia kuna zile amri za Mungi ile ya tatu inasema Waheshimu Baba na mama yako ili siku zako zipate kuwa......
Ila hii hali ya kufikia kutukana na kuwatimua wazazi wako kwasababu tu umeoa (Kwasababu hii hutokea kwa wanaume zaidi) hapo ndipo mi ninapoona huo ni ukichaa
Talking of the devil, nasikia Rihanna kajipeleka tena mwenyewe kwa Chris Brown