Mapenzi ni "KICHAA"

Mapenzi ni "KICHAA"

haswaa....hamna kitu kibaya kama kupenda...maana unakua kama mtumwa vile unaweza ukafanya vitu ambavyo mpaka jamii ikawa inakushangaa kisa ur in love
 
Na ndio maana nasema ule wakati ambao mtu anakuwa ana act kiuchizi uchizi (nahisi wakati huo hata yeye huwa haelewi kama anakuwa ana act hivyo) ndio maana nikasema nahisi mapenzi ni kichaa

Kweli kwa mtizamo huo ina-sound kama ukichaa fulani ingawa haifiti sawa sawa, kwa sababu ukichaa ni hali ya mtu kufanya kitu out of his/her conscious. Lakini kwenye mapenzi siyo hivyo, mtu anakuwa na fahamu zake zote, sema he or she struggles with the balance between love and social relationship. But in most cases tuna-tend kuegemea upande wa love zaidi, na matokeo yake ndo hiyo unayosema mapenzi ni kichaa.

Kuna rafiki yangu alimnyima baba yake elfu 20,000 kwa madai kwamba hakuwa na pesa. Lakini the same day jamaa alitoka na mpenzi wake wanaenda ku-spend zaidi ya hizo. Kwa huyu tunaweza kusema aliegemea zaidi kwenye mapenzi aka-ignore attachment yake kwa mzazi
 
ukiwa kwenye mapenzi yapaswa kujitambua wewe ni nani? na nafasi yako ni ipi kuanzia kwenye ngazi ya familia, jamii na kwenye mahusiano yako na bila ya kuaribu ngazi yoyote kati ya hizo nilizozitaja kwamwe hauto apply and compared love like kichaa kwani wewe ni utayatawala mapenzi na sio mapenzi yakutawale wewe.
 
Hahahahaa sijakutwa na lolote ndugu yangu ni tafakari tu

Mapenzi kwa mzazi,ndugu ,mtoto,rafiki ni kitu tofauti kabisa na mapenzi kati ya mke na mme au gf/bf na wala hayalinganishiki.
Mapenzi kati yako na mzazi wako haya demand reciprocation,toto lako hata likusumbue vipi utalipenda tu ( nina uzoefu huo), lakini uvumilivu kati ya lovers kikawaida una limits.
Kumbuka wapenzi mnakutana ukubwani kila mmoja akija na malezi yake,it can be explosive yes,but it can also break into pieces kwa kitu kidogo tu.
 
Mapenzi kwa mzazi,ndugu ,mtoto,rafiki ni kitu tofauti kabisa na mapenzi kati ya mke na mme au gf/bf na wala hayalinganishiki.
Mapenzi kati yako na mzazi wako haya demand reciprocation,toto lako hata likusumbue vipi utalipenda tu ( nina uzoefu huo), lakini uvumilivu kati ya lovers kikawaida una limits.
Kumbuka wapenzi mnakutana ukubwani kila mmoja akija na malezi yake,it can be explosive yes,but it can also break into pieces kwa kitu kidogo tu.
Nakubaliana na wewe mkuu, lakini kinachonishangaza mimi ni pale ambapo hayo mapenzi yanapokuja explosively yanafanya mtu awe kichaa kabisa
 
kazi kweli kweli mapenzi na ndugu janga kwa maisha yenu?????
 
kazi kweli kweli mapenzi na ndugu janga kwa maisha yenu?????
No the issue here sio mapenzi na ndugu ila namna mapenzi yanavyoweza kumfanya mtu akawa kama kichaa
 
Mapenzi ni kizunguzungu yanaumiza sana yanatesa sana &yana raha sana
 
Unazaliwa ukiwa peke yako na kulelewa na wazazi na ndugu zako wa karibu kwahiyo kwa hali halisi ungetakiwa kuwapenda zaidi hao kuliko mtu mwingine yoyote.

Lakini unakua na kufikia stage ambayo unaingia kwenye mahusiano na mtu mwingine ambaye umekutana naye tu, unajikuta unampenda zaidi ya hao wengine wote, mtu anayeweza kukufanya ukalia usiku kucha, usilale wiki nzima, usiweze kula na kibaya zaidi ukaamua kusitisha maisha yako kwasababu ya mtu huyo tu.

Hivi hiki si ni kichaa?

Ukipendwa pendeka


 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Yeah nami nimekwishaliona hilo andiko mkuu, ingawa pia kuna zile amri za Mungi ile ya tatu inasema Waheshimu Baba na mama yako ili siku zako zipate kuwa......

Ila hii hali ya kufikia kutukana na kuwatimua wazazi wako kwasababu tu umeoa (Kwasababu hii hutokea kwa wanaume zaidi) hapo ndipo mi ninapoona huo ni ukichaa
mkuu M'Jr HIYO NI AMRI YA NNE
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom