lol! Ni aje bana BM!? π
Powaa m2wangu za siku tele....Sasa leo naingia naona vijana wangu wote mmeingia mitini...anyways was nice being back again kijiweni.....hope all is wekk BAK.
Unajua its not just kumpa kila mtu nafasi yake, kuna ile hali ya kuwa kipofu kiasi kwamba huoni wala husikii ushauri wowote juu ya huyo mpenzi wako hata kama ushauri huo ni wa kukujenga ama kukuokoa weweMe nadhani ukichaa ni pale ambapo unashindwa kumpa kila mtu nafasi yake km anavyostahili,mpz wng ana nafasi yake km mpz wng na wazaz wng,ndg zng na marafiki zng wana nafasi zao km wao,huwez kuniuliza eti kati ya mke/mpz wng na wazazi wng nan zaidi nikakuambia mpz wng never,kila mmoja anarole yake yakuplay kwangu kutokana na nafasi yake.tusichanganye madesa wadau.
Tupo bana! ingawaje maji yakizidi unga inabidi kusepa π...usipotee kupita kiasi...ile avatar yako uliyovaa kanga ni aje? π
hhahahaha ww na The Boss bado mnafikiria ile badunka donkie ndani ya kanga moja?....Nitawawekea tena usikonde LOL
[/FONT][/SIZE]
Afadhali BAK na BOSS wamekuwa wakweli π wengine wameamua kuminya ila najua wengi wanaihusudu...I am waiting.
Hahaha BAK Usipatwe na shaka utaipata tuu!...wataka kuipigia punyeto au?
just asking!!!!......right?right??
Hahahahah lol! aisee nimecheka sana lol!
ha ha ha they say curiosity can kill a cat!...and was curious to know if my curiosity can truly kill a cat!....hahaha so was i right?...hahahahah ~~ joking~ boo booo~~!....
Naaaahhh π..BAK did not say that you're right but I was very surprised with that question.
Oi BAK! Change to subject umetokea Mfaranyaki??au unakusikia tuu??
Nilipita tu nikiwa na jamaa zangu sasa vituko vya pale huwa nikivikumbuka huwa naishia kucheka maana havikuwa vidogo.
hahahahaha!....i think the last time i was around the area was 1998 i don;t know how does the place look like anymore but its good to be back...will find time one day niende nikatembeee Mfaranyaki....LOL!
Yeah nami nimekwishaliona hilo andiko mkuu, ingawa pia kuna zile amri za Mungi ile ya tatu inasema Waheshimu Baba na mama yako ili siku zako zipate kuwa......
Ila hii hali ya kufikia kutukana na kuwatimua wazazi wako kwasababu tu umeoa (Kwasababu hii hutokea kwa wanaume zaidi) hapo ndipo mi ninapoona huo ni ukichaa
Dah kwanza ukiendelea kukaa kwa wazazi wako ndio kutakuwa na ugomvi kila siku. Huo ulikuwa mfano tu lakini what i meant here ni namna gani mtu anapokuwa kwenye mapenzi anapokuwa anaweza kufanya mambo ya ajabu kiasi cha watu wengine kumshangaa ambapo mwenyewe mara nyingi anakuwa haoni kama kweli amebadilikaKuachana na wazazi wako ndo kuwaheshimu kwani ukiendelea kuishi nao kuna mambo utafanya sio.
Hujawahi kusikia binti anakuwa na mahusiano na baba yake? Au mama anakuwa na mahusiano na kijana wake? (Mahusiano namaanisha ya kimwili)