kibol
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 4,521
- 2,747
Me nadhani ukichaa ni pale ambapo unashindwa kumpa kila mtu nafasi yake km anavyostahili,mpz wng ana nafasi yake km mpz wng na wazaz wng,ndg zng na marafiki zng wana nafasi zao km wao,huwez kuniuliza eti kati ya mke/mpz wng na wazazi wng nan zaidi nikakuambia mpz wng never,kila mmoja anarole yake yakuplay kwangu kutokana na nafasi yake.tusichanganye madesa wadau.