Mapenzi ni kitu cha ajabu sana

Mapenzi ni kitu cha ajabu sana

Vishu Mtata

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2019
Posts
15,954
Reaction score
35,415
Bila shaka ni wazima mpaka mnasoma hapa.

Hiki kitu aisee ni cha ajabu ni kama kinajicontrol chenyewe kwa namna fulani ya ajabu sana.

Kipindi ambacho unahitaji mwenza wa kuanza naye safari ya maisha, hupati hata ile ng'o.

Lakini kipindi unatongoza hovyo wengi wanajirahisisha, wife material wanakua wengi tu ila kipindi cha kutaka mwenza serious wote eidha wanakua na watoto tayari au washaolewa.

Yani ni kama vile nature inataka uendelee kua kitombi tu.

Haya basi mimi ni nani nipingane na nature, kama upo tayari kubadili hii hali ewe "ke' wa hapa jf karibu PM.

Sina sifa wala vigezo nitakavyo.

NOTE: SILIPII TANGAZO.
 
Sielewi babu
Ukitaka pisi moko utaelewa ila kama kitombi kakyanani hutaelewa.

Na hizi pisi zipo ila sasa ndo zipo kwa masela kama wewe, sisi waaminifu zinatukacha.

Mapenzi bna.
 
Ka akili ka kuendeleza maisha yangu yaliyobakia na mtoto wa watu sijui huwa kananiponyoka vipi asee
 
Kuna binti wa kisukuma hapa mtaani akinisalimia anapiga goti hadi chini tena kipindi hiki cha mvua anachafua gauni kwenye tope, na hii hali inatokea kwangu tu hapa mtaani.
Mie nae nshakuwa mwakitombile huyu ni mke kabisa na anaonyesha anahitaji hilo.
Lakini sasaaaa.... aagh!
 
Kua makini isijekua ni maigizo.
 
Bila shaka ni wazima mpaka mnasoma hapa.

Hiki kitu aisee ni cha ajabu ni kama kinajicontrol chenyewe kwa namna fulani ya ajabu sana.

Kipindi ambacho unahitaji mwenza wa kuanza naye safari ya maisha, hupati hata ile ng'o.

Lakini kipindi unatongoza hovyo wengi wanajirahisisha, wife material wanakua wengi tu ila kipindi cha kutaka mwenza serious wote eidha wanakua na watoto tayari au washaolewa.

Yani ni kama vile nature inataka uendelee kua kitombi tu.

Haya basi mimi ni nani nipingane na nature, kama upo tayari kubadili hii hali ewe "ke' wa hapa jf karibu PM.

Sina sifa wala vigezo nitakavyo.

NOTE: SILIPII TANGAZO.
Sio kweli [emoji23]
 
Back
Top Bottom