Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Mabinti wapo sema nyota yako ya kobeMkuu, Unapitia hali ninayoipitia.
Kwa bahati mbaya JF hakuna wife material. Kuna single mothers, wanaharakati na wenye ubishi wa kipumbavu
Acha tu man, nikihesabu wife material ambao saivi wameolewa ni wengi, sijui ndo nature inaniadhibu.Mkuu, Unapitia hali ninayoipitia.
Kwa bahati mbaya JF hakuna wife material. Kuna single mothers, wanaharakati na wenye ubishi wa kipumbavu
Mkuu ukiwa kitombi, mabinti ni nyomi kinoma, ila ukitaka ile nipoe na mmoko ndo hawao.Mabinti wapo sema nyota yako ya kobe
Sielewi babuMkuu ukiwa kitombi, mabinti ni nyomi kinoma, ila ukitaka ile nipoe na mmoko ndo hawao.
Sijui unaelewa hiyo!!
Ukitaka pisi moko utaelewa ila kama kitombi kakyanani hutaelewa.Sielewi babu
Kua makini isijekua ni maigizo.Kuna binti wa kisukuma hapa mtaani akinisalimia anapiga goti hadi chini tena kipindi hiki cha mvua anachafua gauni kwenye tope, na hii hali inatokea kwangu tu hapa mtaani.
Mie nae nshakuwa mwakitombile huyu ni mke kabisa na anaonyesha anahitaji hilo.
Lakini sasaaaa.... aagh!
Sio kweli [emoji23]Bila shaka ni wazima mpaka mnasoma hapa.
Hiki kitu aisee ni cha ajabu ni kama kinajicontrol chenyewe kwa namna fulani ya ajabu sana.
Kipindi ambacho unahitaji mwenza wa kuanza naye safari ya maisha, hupati hata ile ng'o.
Lakini kipindi unatongoza hovyo wengi wanajirahisisha, wife material wanakua wengi tu ila kipindi cha kutaka mwenza serious wote eidha wanakua na watoto tayari au washaolewa.
Yani ni kama vile nature inataka uendelee kua kitombi tu.
Haya basi mimi ni nani nipingane na nature, kama upo tayari kubadili hii hali ewe "ke' wa hapa jf karibu PM.
Sina sifa wala vigezo nitakavyo.
NOTE: SILIPII TANGAZO.