Hujampata wa kufanana nawe ndugu yangu, ukimpata uajiuliza ulikuwa wapi siku zote kupedwa? shida tunafanya machaguzi mengi ya wenziwetu kwa kuangalia vitu flani katika maisha kama wealth, fame, popularity na vinginevo,lakini kiukweli kupata mume bora vyote hivyo wala sio vigezo...
kwa nguvu za kibinaadamu za kawaida huwezi kupata mume au mke umpendaye, mrudie mungu wako na sema naye, bisha hodi mlangoni pake mweleze shida yako naye atakusikia, hata asipojibu kwa wakati unaoufikiria wewe atakujibu kwa wakati anaoona unafaa, but kwa hakika ukimuomba KWA IMANI atajibu.....pole sana na yote, ndo ukubwa huo!! heri wewe unayeyaona haya nje ya ndoa ukapata nafasi ya kuyakimbia sasa, wenzako wanayapata haya wakiwa ndani ya ndoa ambayo ukiingia ndo basi tena (kwa wakriso), na wamebaki sasa kulia na kulaani kwa nini walipenda au kuoa