Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
...lakini pamoja na mateso yaliyomo ndani ya mapenzi, bado kupendwa au kupenda ni raha sana kama ukibahatika.

Lol..Bubu bana...you always mention that kupendwa ni raha. You must be still head over heels....
tatizo mapenzi hayaendi kiusawa kwa wengi. Unapenda usipopendwa, unapendwa usipopenda.
Ni takribani miezi 6 sasa toka nilipaachana na rafiki yangu,
lakini mpaka leo hii napoandika thread hii naumia moyoni kila nikimkumbuka
nilikuwa na ndoto nyingi nae katika maisha yangu bali kutokana na sababu nilizochindwa kuvumilia kwa muda mrefu nikaona nijiweke pembeni.
nimeshindwa kabisa kumsahau nduguzanguni....!
Mwambie Bishanga nipo nimejaa tele kama pishi la mchele....lolnashukuru unalifahamu hilo. Bishanga anakutafuta.
Ni takribani miezi 6 sasa toka nilipaachana na rafiki yangu,
lakini mpaka leo hii napoandika thread hii naumia moyoni kila nikimkumbuka
nilikuwa na ndoto nyingi nae katika maisha yangu bali kutokana na sababu nilizochindwa kuvumilia kwa muda mrefu nikaona nijiweke pembeni.
nimeshindwa kabisa kumsahau nduguzanguni....!
Kweli kabisa Husninyo na ndio maana nikasema "ukibahatika" maana kuna wengine hawajawahi kuonja mapenzi ya kweli, hivyo hawaijui raha ya kupenda na kupendwa.
Get together with her playboy.Ni takribani miezi 6 sasa toka nilipaachana na rafiki yangu,