Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Na haya siyo matumizi sahihi ya akili kwenye mapenzi. Unataka kusema mafundi wa ngono huwa hawaachwi??Ubongo wa mapenzi uko chini ukitumia hizi akili za kichwani unaachwa
Swali zuri.Ungetoa mfano ingependeza sana
Hakuna mahali nimeandika "mapenzi bila hela" bali nasema hela bila akili haijengi mapenzi.Mapenzi bila hela !! Wanaume hebu muwe serious kidogo
Mwanamke wako atahudumiwa na nani
safi sanaSwali zuri.
Bill Gates na Melinda wameachana kwa kuwa Bill hana hela ama hajui ngono!!? Trump alitalikiana na Ivana kwa kuwa Trump hana hela??
Vijana wanajilisha Sana upepoMapenzi bila hela !! Wanaume hebu muwe serious kidogo
Mwanamke wako atahudumiwa na nani ? Akili bila hela hazina maana
Kwa uzowefu wangu nimegundua kuwa, siku hizi vijana wa kiume hata uwezo wa kujenga hoja ni kwa nini wakubaliwe na wanawake hawana. Kisa ni kwa kuwa wanawaza thamani yao inapimwa kwa muonekano wao ama pesa na vitu wanavyomiliki.Mapenzi bila pesa ni ushogaa
Mimi huo ujinga ndo siutaki mapenzi ya kitotoVijana wanajilisha Sana upepo
Kumpenda binti wa watu hutoi matunzo
Unampa story TU anazeeka mapema mno[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Akili ndiyo hufanya laki iwe na thamani ama laki ionekane si pesa!!Mimi huo ujinga ndo siutaki mapenzi ya kitoto
Ni kweli ila akili pekee bila pesa sio kweliAkili ndiyo hufanya laki iwe na thamani ama laki ionekane si pesa!!
Neno "Pekee" umeliunda wewe . Ukiwa na pesa ama vitu bila akili utaachwa. Ukiwa na akili hata pesa kidogo ulizo nazo zitakuwa na thamani kwa mwanamke. Wakati wewe unadhani kila mwanamke anawaza hela, wanawake wenyewe huwaza kupata mwanaume mwenye akili za kuendeshea maisha.Ni kweli ila akili pekee bila pesa sio kweli
Ulitaka nikiandikaje!!??Ndio nini hiki umeandika sasa?