Mapenzi bwana sipendagi hata kuya-comentia kabisa maaana yanatabia ya kureverse kwa wanaohisi wanayajua.
Nachojua tu katika mapenzi nikuwa yanatakiwa yajiendeshe yenyewe automatically, huhitaji ku-push, kuomba, wala kuforce chochote.
Ukiona unatoa kitu au kuomba kitu kitokee basi hapo yanakuwa yashaisha, mfano unaomba upigiwe, unaomba zawadi, unaomba mtoko, unaomba ujibiwe a to z, unatoa hela ili upendwe, unafanya kitu flan kushawishi nk
Kila mmoja akikaa kwenye nafasi yake huwa yanaenda vizur sana based on man to love, woman to respect. (Position Sizing).