Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,224
- 1,250
Habari za usiku wana JamiiForums,
Kwa muda sasa nimekuwa nikiyatafakari mapenzi.
Nilichokuja kugundua ni kwamba mapenzi ni kwa watu dhaifu. Ukitumia akili nyingi kwenye mapenzi nakuhakikishia hutadumu.
Angalia wote waliofanikiwa kudumu kwenye mapenzi, akili zao zilivyo... Sina lengo la kudhalilisha, lakini mapenzi ya hapa bongo usipojifanya mjinga utaishia kulia kila siku.
Wote wanaofaidi mapenzi ni wale ambao hawatumii sana akili zao kwa kiwango cha juu, na wakijaribu kutumia akili nyingi, yatawatesa sana.
Je, pressure inaongezeka au inapungua?
Siku njema kwenu.