Kwani na wewe bado upo "kidato"?, kama haupo huko basi wa kidato waachie wa kidato wenyewe, tafuta mtu mzima mwenzio usije itwa fataki. Kwa jinsi ya watoto wa siku hizi wanaanza masomo mapema kwa vyovyote kwa hiyo O-Level atakuwa under 18, tahadhali waijua sheria inaitwa SOSPA!?, inakunyemelea ndugu
Hallo,
Kama wakati mgumu maishani mwangu, ni huu ndio nilio nao.
Nilipenda msichana yupo Form 4, nilipomweleza hisia zangu hakusita kwani hata yeye alikuwa na kitu hicho tangu siku nyingi! Sasa umefikia wakati mimi nataka nioe mwaka kesho, na nilimwambia kabla ya kusign in yaani kukubaliana naye, hakuzungumzia zaidi kuhusu hilo.
Msichana anauwezo mkubwa darasani yuko tatu bora! Sasa amesema kuona naye mwaka kesho ni lazima. Amesema atatumia mbinu yoyote ile ili mimi na yeye tuoane mwaka kesho! Sasa nifanyeje, niachane naye maana najua atajifelisha ili tuoane, na akifaulu kwenda kidato cha tano itakuwaje? Hataki tuachane ng'o!
Nisaidieni wanajamvi ni wakati mgumu!
Asanteni.
I-print kabisa!!Duh, avater yako tamu, inabidi nisevu desktop.
Akija ataiona, nitamwambia we ndo mshauri
Hallo,
Kama wakati mgumu maishani mwangu, ni huu ndio nilio nao.
Nilipenda msichana yupo Form 4, nilipomweleza hisia zangu hakusita kwani hata yeye alikuwa na kitu hicho tangu siku nyingi! Sasa umefikia wakati mimi nataka nioe mwaka kesho, na nilimwambia kabla ya kusign in yaani kukubaliana naye, hakuzungumzia zaidi kuhusu hilo.
Msichana anauwezo mkubwa darasani yuko tatu bora! Sasa amesema kuona naye mwaka kesho ni lazima. Amesema atatumia mbinu yoyote ile ili mimi na yeye tuoane mwaka kesho! Sasa nifanyeje, niachane naye maana najua atajifelisha ili tuoane, na akifaulu kwenda kidato cha tano itakuwaje? Hataki tuachane ng'o!
Nisaidieni wanajamvi ni wakati mgumu!
Asanteni.
Msubiri amalize shule yake hata kama ikiwa na chuo kikuu. Elimu ya juu kwa huyu future wife wako itasaidia kuwaongeza kipato chenu na hivyo kuwa na maisha bora ninyi na watoto wenu mtakaojaliwa. Wakati anaongeza madarasa basi ingekuwa vizuri na wewe uongeze madarasa zaidi kama una uwezo wa kufanya hivyo. Kumbuka Waswahili walisema subira siku zote yavuta heri.
umenikera sana kwani mdogo wangu yupo kidato hicho,nahisi kama ni yeye!!!!!!!!!!!!!ole wako ,sie tunawasisitiza wasome kwani urithi wa mwanamke ni ELIMU wewe una kazi ya kuwadanganya.
ASANTENI KWA USHAURI MLIOMPA HAPO JUU.
Umeeleweka kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaOopsss!!! ataifanya mitihani yake yote vibaya awe nafasi ya 3 darasani kutoka mwisho ili aje aolewe. Mkuu ndoa ni ndoano. inaweza kusubiri..elimu haisubiri.Mkuu ukweli utaniangusha sana kama utasema huwezi kumshauri aendelee kufanya vizuri darasani asubiri matokeo halafu mipango ya kuoana ianzie hapo baada ya kupata matokeo ya kidato cha nne ..umeshindwa kumshauri banaa...si ni wako tuu mmeshakubaliana? kwann usingemshauri asome kwa bidii..kufaulu kwake ni maisha bora yenu ya baadae..mpe hiyo miaka mi2 angalau amalize bado unaweza kumuoa na akaenda chuoni bhanaa..msaidie bhanaaa atakujua kukushukuru sana baadae mtakapoana..usije kuwa wewe ndo ulimkwaza..iko siku atasema kama sio wewe ningekuwa mbali sana kielimu...naomba mkuu usikubali hiyo NINGE....upate nafasi kwa sifa mbaya..inatakiwa akusifie baadae kwa kumshauri na kumvumilia akamaliza kitabu ngazi ya sekondari vizuri.Do something her her better future mkuu if you real need her be your material wife.Si na kingeresa nimetumia kuonyesha msisitizo
Nimecheka mleta thread bana, watu wanatoka povu ye katulia tuli anashusha mashairi. Jf inakonga moyo sana lol
.. Jivue GAMBA..... MCHAKACHUAJI WEWE..ndo maana Div 0... zinaongezeka.. ole wako tukujue.. Fisi we.
.. Jivue GAMBA..... MCHAKACHUAJI WEWE..ndo maana Div 0... zinaongezeka.. ole wako tukujue.. Fisi we.