Mapenzi ni sumu kaliiii, nisaidieni!

Mapenzi ni sumu kaliiii, nisaidieni!

Denaaaaaaaaaaaaaa ha ha ha ha kumbe hata ww unajua utoto upo kule FB teh
 
Hivi Shossi kaenda wapi? alikuwa mkali wa mashairi..
 
naona ww utakuwa umefeli form 4 manake hata kufikiri kwako zero kabisa tena jiite zero brain huna haya kabisa unataka kuoa mtoto wa kidato cha 4 badala ya kumwacha afaulu ajiendeleze baadae kama Mungu akipenda mtaoana sasa ukimwoa awe mtu wa kukaa tu ndani atafanya kazi gani?? sisi tulio na vidigrii tunaona bado havitoshi tunajitahidi kuongeza kingine ili walau nipande kacheo nijimudu ww unawazia kuoa mwanafunzi?? sidhani kama akili yako ina akili tena umejiunga leo leo kutuchefua ngekuwa karibu ngekuchapa kofi la nguvu uzimie tena uhame Tanzania haikufai.
 
.. Jivue GAMBA..... MCHAKACHUAJI WEWE..ndo maana Div 0... zinaongezeka.. ole wako tukujue.. Fisi we.
 
Kwani na wewe bado upo "kidato"?, kama haupo huko basi wa kidato waachie wa kidato wenyewe, tafuta mtu mzima mwenzio usije itwa fataki. Kwa jinsi ya watoto wa siku hizi wanaanza masomo mapema kwa vyovyote kwa hiyo O-Level atakuwa under 18, tahadhali waijua sheria inaitwa SOSPA!?, inakunyemelea ndugu

Hilo siyo penzi ni utoto,,, naunatafuta matatizo.
 
Oopsss!!! ataifanya mitihani yake yote vibaya awe nafasi ya 3 darasani kutoka mwisho ili aje aolewe. Mkuu ndoa ni ndoano. inaweza kusubiri..elimu haisubiri.Mkuu ukweli utaniangusha sana kama utasema huwezi kumshauri aendelee kufanya vizuri darasani asubiri matokeo halafu mipango ya kuoana ianzie hapo baada ya kupata matokeo ya kidato cha nne ..umeshindwa kumshauri banaa...si ni wako tuu mmeshakubaliana? kwann usingemshauri asome kwa bidii..kufaulu kwake ni maisha bora yenu ya baadae..mpe hiyo miaka mi2 angalau amalize bado unaweza kumuoa na akaenda chuoni bhanaa..msaidie bhanaaa atakujua kukushukuru sana baadae mtakapoana..usije kuwa wewe ndo ulimkwaza..iko siku atasema kama sio wewe ningekuwa mbali sana kielimu...naomba mkuu usikubali hiyo NINGE....upate nafasi kwa sifa mbaya..inatakiwa akusifie baadae kwa kumshauri na kumvumilia akamaliza kitabu ngazi ya sekondari vizuri.Do something her her better future mkuu if you real need her be your material wife.Si na kingeresa nimetumia kuonyesha msisitizo
Hallo,
Kama wakati mgumu maishani mwangu, ni huu ndio nilio nao.
Nilipenda msichana yupo Form 4, nilipomweleza hisia zangu hakusita kwani hata yeye alikuwa na kitu hicho tangu siku nyingi! Sasa umefikia wakati mimi nataka nioe mwaka kesho, na nilimwambia kabla ya kusign in yaani kukubaliana naye, hakuzungumzia zaidi kuhusu hilo.

Msichana anauwezo mkubwa darasani yuko tatu bora! Sasa amesema kuona naye mwaka kesho ni lazima. Amesema atatumia mbinu yoyote ile ili mimi na yeye tuoane mwaka kesho! Sasa nifanyeje, niachane naye maana najua atajifelisha ili tuoane, na akifaulu kwenda kidato cha tano itakuwaje? Hataki tuachane ng'o!
Nisaidieni wanajamvi ni wakati mgumu!
Asanteni.
 
upendo na penzi vilikuwepo, vipo na vitakuwepo. Huyo binti upeo wake umefunikwa na utando wa kuharibikiwa maisha yake ya kesho, badala umuokoe ktk uelekeo huo mbovu ww unadai unataka kuoa. ANGALIA KIJANA USIJE LAUMIWA NA HUYO UNAEDAI ANAKUPENDA. WAPO WENGI WALIACHA MASOMO KWA MADAI YA PENZI NA WAKABAKI UNDEVELOPED HADI MWISHO WA MAISHA YAO
 
Mapenzi na mtoto wa shule ni sumu,
jaribu kufungua ukurasa mwingine,
usimuharibie binti maisha yake p'se.
 
umenikera sana kwani mdogo wangu yupo kidato hicho,nahisi kama ni yeye!!!!!!!!!!!!!ole wako ,sie tunawasisitiza wasome kwani urithi wa mwanamke ni ELIMU wewe una kazi ya kuwadanganya.
ASANTENI KWA USHAURI MLIOMPA HAPO JUU.
 
Hallo,
Kama wakati mgumu maishani mwangu, ni huu ndio nilio nao.
Nilipenda msichana yupo Form 4, nilipomweleza hisia zangu hakusita kwani hata yeye alikuwa na kitu hicho tangu siku nyingi! Sasa umefikia wakati mimi nataka nioe mwaka kesho, na nilimwambia kabla ya kusign in yaani kukubaliana naye, hakuzungumzia zaidi kuhusu hilo.

Msichana anauwezo mkubwa darasani yuko tatu bora! Sasa amesema kuona naye mwaka kesho ni lazima. Amesema atatumia mbinu yoyote ile ili mimi na yeye tuoane mwaka kesho! Sasa nifanyeje, niachane naye maana najua atajifelisha ili tuoane, na akifaulu kwenda kidato cha tano itakuwaje? Hataki tuachane ng'o!
Nisaidieni wanajamvi ni wakati mgumu!
Asanteni.

Msubiri amalize shule yake hata kama ikiwa na chuo kikuu. Elimu ya juu kwa huyu future wife wako itasaidia kuwaongeza kipato chenu na hivyo kuwa na maisha bora ninyi na watoto wenu mtakaojaliwa. Wakati anaongeza madarasa basi ingekuwa vizuri na wewe uongeze madarasa zaidi kama una uwezo wa kufanya hivyo. Kumbuka Waswahili walisema subira siku zote yavuta heri.

Babu ataka kusema ni mwema, maelezo yako nayapenda.
Umetoa ushari mwema, tena usio najazba.
nimemshauri mtoto mwema, tena amesema atasomea sheria.
Ili aniteteee na wanangu, zali tunapozifanya.
Ushauri nimetekeleza, na tena yamekwisha.
nitamsubiri kimwana, mpaka aione degree.
 
umenikera sana kwani mdogo wangu yupo kidato hicho,nahisi kama ni yeye!!!!!!!!!!!!!ole wako ,sie tunawasisitiza wasome kwani urithi wa mwanamke ni ELIMU wewe una kazi ya kuwadanganya.
ASANTENI KWA USHAURI MLIOMPA HAPO JUU.

Kama vipi unaweza kujinyonga, ukiona nimekukera.
Hujaelewa mada, hata ukakereka?
Sijaharibu bado, ndio maana naomba ushauri.
Nisingeomba ushauri, kwani wewe ungejua?
tulia baba tulia, jaziba weka mfukoni
Utazichukua jioni, jamvini ukitoka
 
Mapenzi na mtoto wa shule ni sumu,
jaribu kufungua ukurasa mwingine,
usimuharibie binti maisha yake p'se.
Chapaa chapaa, sauti ilisikika.
Katika ndoto nimelaa, sikujua kosa langu.
chapa umelifunua.
 
Nimecheka mleta thread bana, watu wanatoka povu ye katulia tuli anashusha mashairi. Jf inakonga moyo sana lol
 
Oopsss!!! ataifanya mitihani yake yote vibaya awe nafasi ya 3 darasani kutoka mwisho ili aje aolewe. Mkuu ndoa ni ndoano. inaweza kusubiri..elimu haisubiri.Mkuu ukweli utaniangusha sana kama utasema huwezi kumshauri aendelee kufanya vizuri darasani asubiri matokeo halafu mipango ya kuoana ianzie hapo baada ya kupata matokeo ya kidato cha nne ..umeshindwa kumshauri banaa...si ni wako tuu mmeshakubaliana? kwann usingemshauri asome kwa bidii..kufaulu kwake ni maisha bora yenu ya baadae..mpe hiyo miaka mi2 angalau amalize bado unaweza kumuoa na akaenda chuoni bhanaa..msaidie bhanaaa atakujua kukushukuru sana baadae mtakapoana..usije kuwa wewe ndo ulimkwaza..iko siku atasema kama sio wewe ningekuwa mbali sana kielimu...naomba mkuu usikubali hiyo NINGE....upate nafasi kwa sifa mbaya..inatakiwa akusifie baadae kwa kumshauri na kumvumilia akamaliza kitabu ngazi ya sekondari vizuri.Do something her her better future mkuu if you real need her be your material wife.Si na kingeresa nimetumia kuonyesha msisitizo
Umeeleweka kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Nimecheka mleta thread bana, watu wanatoka povu ye katulia tuli anashusha mashairi. Jf inakonga moyo sana lol

Wewe umenena, tena kwa upole.
Umetabasamu mapema, asubuhi imekubarikia.
Achana na wenye jaziba, JF hawaijui
Ni uwanja wa vita, matatizo hayaishi.
 
.. Jivue GAMBA..... MCHAKACHUAJI WEWE..ndo maana Div 0... zinaongezeka.. ole wako tukujue.. Fisi we.

Acha matusi,
onyesha ukomavu kidogo kwa kutoa hoja|!!!!!
 
.. Jivue GAMBA..... MCHAKACHUAJI WEWE..ndo maana Div 0... zinaongezeka.. ole wako tukujue.. Fisi we.

Data umechoka, busara umezikosa.
Ushauri umeutupa, moyo unakudunda.
Toka shetani toka, lugha yako chafu.
Hata sikuhitaji, ushauri wako ni mfu
 
Back
Top Bottom