Mapenzi ni sumu

twenty2

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
296
Reaction score
32
mapenzi ni sumu kwasababu ukiachwa na mtu unayempenda unaweza ukajiua na kupoteza maisha kabisa or ukanywa sumu kwasababu ya mapenzi.ndio maana nasema mapenzi ni kama sumu.
 
mapenzi ni sumu kwasababu ukiachwa na mtu unayempenda unaweza ukajiua na kupoteza maisha kabisa or ukanywa sumu kwasababu ya mapenzi.ndio maana nasema mapenzi ni kama sumu.

Mambo ya kujitakia tu!!!
 
Tafuta mwingine, mbona wengi tu sumu ya nini?
 
mapenzi ni sumu kwasababu ukiachwa na mtu unayempenda unaweza ukajiua na kupoteza maisha kabisa or ukanywa sumu kwasababu ya mapenzi.ndio maana nasema mapenzi ni kama sumu.

Pole, usijiue kuna mwingine anatamani hata kesho atoe posa kwenu! Hukuzaliwa na hayo umeyakuta tu tena ukubwani!
 
mapenzi ni sumu kwasababu ukiachwa na mtu unayempenda unaweza ukajiua na kupoteza maisha kabisa or ukanywa sumu kwasababu ya mapenzi.ndio maana nasema mapenzi ni kama sumu.
<br />
<br />
kwa hiyo unatushauri nini?
 
MApenzi sio sumu, mapenzi ni furaha, na mapenzi ni amani. soma neno la 1 corinthian 13: mstari wa 4 hadi wa 7:
4 Love is patient, love is kind. It does not envy, it does not boast, it is not proud. 5 It is not rude, it is not self-seeking, it is not easily angered, it keeps no record of wrongs. 6 Love does not delight in evil but rejoices with the truth. 7 It always protects, always trusts, always hopes, always perseveres.

&#8203;Ukikuta kitu kinafanana mapenzi lakini hakifanani na maneno haya matakatifu basi ndio sumu yenyewe, hepukana nayo. Kweli sio hivo kila siku ila ni hivo most of the time.
 
wapo lakini hautompata kama wa mwanzo.
Wapo tele tu ili mradi uachane na mawazo ya ajabu kuwa there is a better half for you. istoshe kama mlianza uhusiano it means hakuwepo kabla ila wewe ulikuwepo so akiondoka wewe upo. Muachen kupenda bila kukalibisha kidhibiti mwendo (akili)
 
Mapenzi ni matamu sana hasa ukimpata unaendana nae kwa kweli,ila ni machungu kama shubiri ukipata mtu msiye endana nae, au kuforce uhusiano ni mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…