Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mapenzi ni sumu kwasababu ukiachwa na mtu unayempenda unaweza ukajiua na kupoteza maisha kabisa or ukanywa sumu kwasababu ya mapenzi.ndio maana nasema mapenzi ni kama sumu.
mapenzi ni sumu kwasababu ukiachwa na mtu unayempenda unaweza ukajiua na kupoteza maisha kabisa or ukanywa sumu kwasababu ya mapenzi.ndio maana nasema mapenzi ni kama sumu.
wapo lakini hautompata kama wa mwanzo.
<br />mapenzi ni sumu kwasababu ukiachwa na mtu unayempenda unaweza ukajiua na kupoteza maisha kabisa or ukanywa sumu kwasababu ya mapenzi.ndio maana nasema mapenzi ni kama sumu.
Wapo tele tu ili mradi uachane na mawazo ya ajabu kuwa there is a better half for you. istoshe kama mlianza uhusiano it means hakuwepo kabla ila wewe ulikuwepo so akiondoka wewe upo. Muachen kupenda bila kukalibisha kidhibiti mwendo (akili)wapo lakini hautompata kama wa mwanzo.