Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na kwann umchukue changudoa wakati unampz wako?au akulizshi?na kwann ucmwambie na ukaachana nae,sasa uon mapenzi n udanganyifu?Hivi unajua kwa mfano..mimi nikienda kumchukua changu nikaenda nae gesti, mimi na yeye kwa wakati ule ni wapenzi! mfano huu nataka tu kukuonesha kwamba kuna mapenzi ya aina nyingi, wengine unakuta mtu na mpenzi wake lakini hata hawajui future ya maisha yao ikoje..kwa nini nisiwe na wengine! wengine ndio wameona lakini basi tu ilimradi alitaka kuoa au kuolewa! kwa mpango huu lazima kutakua na uchakachuaji.
Lakini pia huwa kuna vijisababu vidogo vidogo viiiiingi vikiongozwa na tamaa ndio vinasababisha mapenzi yawe ya aina nyingi, ila tu nataka nikwambie kuna kitu kinaitwa TRUE LOVE, mkipendana, aminiana, lindana, kujaliana na kumkumbuka Mungu...basi inakua burudaaaaaaaani!
ndio coz uwezi ukaniambia unanipenda mm twety2 sana2 then 4same tym una Asha, c ndio udanganyifu wenyewe?na kwann uwe na asha wakati nakulizsha?au 2natotauti gan?au kuna utamu tofaoti?mapenzii yana jumuisha mambo mengi...udanga jifu ni moja wapo,ila huwezi kuacha kupenda na kuwaa katika mapenzi hata kama umedanganywaa...unavyo hisi yalivyo ndo hivyo yatavyokuwaaa
na kwann umchukue changudoa wakati unampz wako?au akulizshi?na kwann ucmwambie na ukaachana nae,sasa uon mapenzi n udanganyifu?
kwani mapenzi yanaongozwa na nani?au kwani mapenzi yanaonekana?na mapenzi n nn?ukishajjbu ayo maswali ndio utapata jbu kuwa mapenz n udaganyifu unaoongozwa na wa2.Mapenzi sio udanganyifu...watu ndio wadanganyifu na ndio maana wanakua na watu zaidi ya mmoja!!Zaidi ya mmoja sio wapenzi ni watu tu walioingizwa mkenge!