Mapenzi ni utoto unaofanywa na watu wazima...

Mapenzi ni utoto unaofanywa na watu wazima...

Kukosa meno sio sababu tosha ya kutaka wengine wasile nyama.
 
Nakusalim roommate.

Nashukuru roommate aje wewe?..Na wewe yamekuficha mapenzi au ndio tumetofautiana shift manaake kila nikirudi jioni sikukuti maskani kwetu..Uko night mwezi mzima?
 
Nashukuru roommate aje wewe?..Na wewe yamekuficha mapenzi au ndio tumetofautiana shift manaake kila nikirudi jioni sikukuti maskani kwetu..Uko night mwezi mzima?
Mi niko night kila siku, ila lately nilikua nimeenda field kabisa.
 
ooh mme, ongea taratibu utajiongezea competitors.

Walaaa mshipa haunigongi ! Nafunguka tena kwa domo pana!
Sina nimuogopae hapa , wote tunamiliki mokomoko!
Samaki hafundishwi kuogelea ! Usihofu Nzi yeyote kukatiza !
Nimejipanga mpenzi .
Chezeya Judge yeye! Utaondoka na Shipa kg 40 ! Unafanza mchezo!
 
Huyu lazima kisha wachwa tu, na ka boi friend kake :cool2:
 
Back
Top Bottom