Mapenzi nikupeana furaha

Mapenzi nikupeana furaha

Mimi kwa kweli ni mara nyingi huwa nafurahishwa ila pia ni mara nyingi huwa nachukizwa. Nafikiri ndo maana halisi ya maisha ya mahusiano, uvumilivu na kusomana na kusameheana lazima kuchukue nafasi
 
Watu wanaingia kwenye uhusiano kwa ajili ya kusaka raha, sio kusaka watu wa kuwapiga makofi, si kusaka watu wa kuwatukana na kuwakosesha amani.
 
Mimi kwa kweli ni mara nyingi huwa nafurahishwa ila pia ni mara nyingi huwa nachukizwa. Nafikiri ndo maana halisi ya maisha ya mahusiano, uvumilivu na kusomana na kusameheana lazima kuchukue nafasi

Inasikitisha kwamba kuna watu wamekuwa wakianzisha uhusiano kwa raha, lakini inafikia wakati watu hao hao wanaanza kutiana shida, kutukanana, kupigana na kunyanyasana.
 
yani inakosesha maana halisi ya mapenzi! sasa huwa najaribu kufikiri hata kama mwenzio kakukosea kwani umtukane! kwanini kumpiga! kama kweli mlipendana mpaka kuamua kuishi wote bado mnaweza kusuluhisha mambo bila chaos na hali ikawa shwari..
 
Haya mambo ni mazito sana hata mungu mwenyewe apendi kondoo wake wakapotea,na mara nyingi matatizo kama haya yanatokea kama hawa watu wawili awakupendana kwa dhati tokea mwanzo.
 
Mara ya mwisho kufurahi au kukaa na mwenzi wangu na kufurahi ni usiku wa kuamkia leo.
 
wote wenye shida karibuni kwangu kuna tulizo la furaha na amani.
 
Napita kwanza, naenda fanya reference kwenye diary yangu then ntakuja na jibu!..
 
Back
Top Bottom