Mapenzi nimeyanyooshea mikono

Yaan right now hapa sasa hv nnavyoongea nna machungu yasiyoelezeka mshenz nimempenda ananiletea vioja yaani si unajua maisha ya kichuo chuo nilikua nakaa nae tukakwazana kitu kdg tena yy ndio sababu akanipotezea yaan mtu nipo nae ndani tunapishana tu baada ya salamu nikalia wee! Akaja na slogan mpya anaenda kukaa kwa rfk zk eti mm namchanganya aisee kikawa kilio kingine kumbembeleza akae tena nlivyo fala namwambia hakuna mtu mkamilifu nisamehe km mm nimekukosea mi kwa makosa uliyonifanyia nishayasamehe...kaka we leo nimeshindwa ht kuingia class ninaumwa mapenz cha zaid kaja kachukua vitu vyk akaniachia kitu flani hv eti hicho kaa nacho nilikupa km zawadi kwa upendo shenz type nimemuangalia tu nikamwambia Goodbye and stay safe yaani hii nimeitoa kutoka moyoni sitaki kumuona tenaa! Eti linafika mbele linanitxt tumeachana ila bond yetu isife mm ngj tu ni move kwa muda nilichomjibu ni asirudishe matako yk kuna muda inabidi useme enough is enough ili ht heshima iwepo.
 
Sipendi kuumizwa na kitu ambacho sitaweza kubadili. Sio katika mapenzi tu..hata mambo ya kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa tunatamani iwe hivyo ila kufanikisha ndio tatizo.

Trust me, hakuna mtu anapenda stress ila love ni kitu kigumu Sana.

Kuna mtu yupo tayari kufa kwaajili ya mtu mwingine? Ila haya yanatokea kwenye mapenzi. Nafikiri kuna nguvu kubwa sana inayoendeshwa na hisia kuliko akili kwenye mapenzi.

Nakumbuka kuna mtu alipata mchumba wake, kutoka familia yakishua, Baba balozi, mama ikulu. Mwanaume ni kutoka familia ya kawaida mama nurse, baba hana kazi.

Baada ya wazazi wa mwanaume kuchunguza ile familia ya mwanamke wakagundua kuna matatizo, wakamwambia asioe huko.

Mwanaume aliapa anajitundika juu asipomuoa huyo mwanamke, wazazi wakasema tusamehe ilikuwa ni utani.

Sasaivi wanamiaka 40 ya ndoa hawana mtoto isipokuwa wame adopt kutoka USA.

I tell you love is crazy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli size yako kutoka tigo ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana Mkuu.

Stori yetu hapa inataka kufanana.

Isipokuwa mimi ndio nili declare tuachane.

Tena kuna vitu tulibadilishana.

Akaniomba nimrudishie baada ya kuona hakuna mapenzi.

Nikamjibu nitavitupa baharini, na yeye avitupe vyangu huko.

Kumbe ni wivu na hasira vilinisonga.

Saivi mimi ndio naumia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji2][emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hata mm naumia japo yy ndio kanisababishia haya yaani nina maumivu makali natamani ht nipotee ila ndio hvy naamini Mungu ni mwema yatapita na ipo siku nitasahau[emoji4]
 
Castr, Tatizo alishika ya kwangu. Ni hilo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe unaonekana bd ni mdogo sana experience za mapenzi ndio zinaanza[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] ukiachana na Huyu akatokea mwengine na mwengine hamna tena kitakachokuumiza take it from me [emoji38][emoji38][emoji38]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
kwanza pole
pili anahitaji kuambiwa ulivyo mdhaifu ili tusije kukukosa kama haelewi
nitumie contact zake nitajaribu kuongea naye , maana tumeagizwa upendo
 
Hata mm naumia japo yy ndio kanisababishia haya yaani nina maumivu makali natamani ht nipotee ila ndio hvy naamini Mungu ni mwema yatapita na ipo siku nitasahau[emoji4]
Yeah.

Utashangaa siku hisia zimeisha mpaka unajiuliza ilikuwaje hata ukampenda.

Wazungu wana kausemi " Time heals".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji26][emoji26]

Nilikuwa nikisikia jitu na midevu analia kisa mapenzi.

Kumbe na mimi nilikuwa nangojewa sasa nimeelewa kwanini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama umeshindwa kumuacha ni wewe haiwezekani demu ataki na simu yake na ww unajifanya unajua kupenda jiulize Kwann anakuwa mkali na simu yake
 
Kama umeshindwa kumuacha ni wewe haiwezekani demu ataki na simu yake na ww unajifanya unajua kupenda jiulize Kwann anakuwa mkali na simu yake
Alikua mkali lakini baadae alikubali.

Unajua simu wakati mwingine ina mambo binafsi sana ya mtu ukiacha haya mambo ya kucheat.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…