Mapenzi nimeyanyooshea mikono

Mapenzi nimeyanyooshea mikono

yellow eyes, Real Love doesn't come out of money, if that was a case riches could buy it on shops but it's something that you can't buy nor would you touch it.

Umekariri sana, nimeona jinsi ulivyoelezea.

Anyway, naheshimu mawazo yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilishika simu yake ile sijakaa sawa nashangaa mtu kachumpa akanirukia kwa juu hadi nikajigonga kwenye kingo ya kochi. Almanusura aning'oe meno kwa kujigonga kwenye mbao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu yangu pole sana nakuelewa sana.

Kwa upande wangu baada ya kupona jeraha nimekua mgumu sana hii hali ni mbaya sana unaweza kutafuta mdada ukampata wiki 2 nyingiii

Aanze sujui kunitumia text nakereka sanaaaaa, mm sitaki usumbufu simjibuuuuu mpaka anakua kimya.
 
Back
Top Bottom