Atacms
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 4,884
- 8,924
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mkuu, angalia yasikunyooshe mwili mzima means ukafa
Sijajua ila nilisoma messages sijaona ya kusisimua.
Kuna mtu huwa wanachat kama rafiki ndio maana niliingiwa wivu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaojiua kwa wivu wa kimapenzi ni wadogo kiumri?
Ni sawa tu. Hata wewe unaweza kufa kwa kujikwaa mguu, tukakusahau mazima.Bado mchangaaa sana. Huyo mwanamke anaonrkana tu ni mambo mengi halafu wewe huna hatia jiandaee kufaaaa kwa mawazo
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu, angalia yasikunyooshe mwili mzima means ukafa
hahahahivi sheria ya matumizi ya BANGE haijapitishwa bado...........tena iwe lazima kuvuta ukiwa standard 6........mjifunzage na kupiga PUNYETO vijana.......demu mzuuuriiii unamscan unapiga bao za hatari .......kiroho safiiii
[emoji23][emoji23][emoji23]Nilishika simu yake ile sijakaa sawa nashangaa mtu kachumpa akanirukia kwa juu hadi nikajigonga kwenye kingo ya kochi. Almanusura aning'oe meno kwa kujigonga kwenye mbao
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahaha age yako ndogo sio kesiiiNi sawa tu. Hata wewe unaweza kufa kwa kujikwaa mguu, tukakusahau mazima.
So usinitishe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaojiua kwa wivu wa kimapenzi ni wadogo kiumri?
Kama mtu ukikua ndio upendo unapungua basi kusingekua na vifo vinavyotokana na mapenzi.
Your point doesn't make sense.
Sent using Jamii Forums mobile app