Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaWasichana wengi wa kizazi cha leo hutoa mahaba ikiwa tu kuna bingo. Vijana wa kiume nao siku hizi wameshtuka, hawatoi mkwanja mpaka wamekula mzigo kwanza. Njia panda ni pale, ambapo nani aanze kutoa chake. Kufanya mapenzi siku hizi ni kama unaingia mkataba wa kibiashara. Money on the table, funguo ya chumba mkononi ndio papuchi iliwe.
Yako wapi mapenzi?
Tunaenda wapi kizazi hiki?
Karibuni kwa mjadala