Tetesi: Mapenzi siyataki tena Paula Kajala adai baada ya Rayvanny kupakia picha ya Fayvanny

Tetesi: Mapenzi siyataki tena Paula Kajala adai baada ya Rayvanny kupakia picha ya Fayvanny

Mapenzi siyataki tena,'Paula Kajala adai baada ya Rayvanny kupakia picha ya Fayvanny

Rayvanny ni msanii wa Bongo aliyesajiliwa chini ya WCB Wasafi. Yeye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Next Level music.

Rayvanny aliachana na mpenzi wake na mama wa mtoto wake Fahyma mapema mwaka huu .

Alianza kuchumbiana na binti wa muigizaji maarufu Paula Kajala . Paula ni mwanamitindo na mshawishi wa chapa.

Tangu wawili hao waanze kuchumbiana wameonyesha mapenzi kwenye mitandao ya kijamii huku wakipost kila mmoja akitoa maneno ya mapenzi .

Jana msanii huyo alitumia hadithi zake za Instagram kumpost mpenzi wake wa zamani Fahyma.

Baada ya muda msanii huyo aliichomoa picha hiyo .Saa moja baada ya msanii huyo kufuta picha hiyo Paula Kajala aliacha kumfuata ambayo baadaye ilifuatiwa na Rayvanny na kuaha kumfuata Paula kweye ukurasa wake wa instagram.

Wawili hao ambao hawajafuatana wamewaacha mashabiki wakiulizana iwapo bado wapo pamoja au ni kikitu wa kuutangaza wimbo wake mpya kabisa na Maluma. ?

Kupitia kwenye ukurasa wake Paula kajala, alisema kwamba ameacha mambo ya mapenzi, na kutia bidii kwenye masomo yake.

"Ngoja nikazane na masomo tuu😭😭 mapenzi siyataki tena jamani😩 basi nikisema hivi kuna vizabi zabina leo watapika pilau kufurahia🤣🤣🤣," Paula aliandika.


Pia Paula kwenye ukurasa wake mwingine wa instagram siku ya Jumamosi alidai kwama yeye na Rayvanny hawataachana, na kwa wanao ngoja waachane haya basi watangoja sana.

"Mimi kuachana na Rayvanny sio leo wala kesho mpaka Mungu atakapo tutenganisha mpoo?🤣🤣🤣 mtasubiri zaidi ya Jux vizabi nyie mpigwe shoti mfe wale msiopenda mahusiano yangu na ray."

Kati ya makosa makubwa sisi wanaume tunafanya ni kuzaa na hawa wanawake wa mitaani hata kwenye madanguro huku tukitegemea watoto wetu watakuja kuwa tofauti na wao.
 
Mapenzi yalikuwepo toka enzi na enzi kwahiyo wao kupendana sio kitu cha ajabu ni kawaida na hamtoweza kuvuka luv la:-

You "My Boo" like Usher, and Alicia Keys
And every time that you touch me girl you please my knees
Be like, George and Weezy, Jada and Will(Lakini sasa nanga inapaa)

Romeo and Juliet
Jack and Rose (Titanic 1912)
Ciara and Bow wow
Usher and Tboz


Waangalie hii video kisha wajipime kama wanakula bata kama hili.





 
Majani naye kala sana binti za watu, hata Kajala kaanza kumkwega akiwa mdogo sana.
Muosha huoshwa.
Majani alikuwa anamla kajala wakati anavaa uniform pale bamaga sinza

Kajala anafichwa room analiwa ndio anaenda kwao ndio mwisho wa siku hako kapaula kamepatikana .

To kinachotokea Sasa ni marudia tu ya matukio ndio huwezi msikia majani akipaniki katulia tu anajua kabisa he pays the price [emoji1787]
 
Majani alikuwa anamla kajala wakati anavaa uniform pale bamaga sinza

Kajala anafichwa room analiwa ndio anaenda kwao ndio mwisho wa siku hako kapaula kamepatikana .

To kinachotokea Sasa ni marudia tu ya matukio ndio huwezi msikia majani akipaniki katulia tu anajua kabisa he pays the price [emoji1787]
Exactly, you know alimtia mimba akiwa na 18yrs.
What goes around comes around.
 
Mkuu huyo rayvan ndio Nani

Sio wote tunaomjua huyo mtu

Tupe wasifu wake kidogo

Huyo wa kushoto aliebeba kajibwa.

7A90CB1B-6E8B-481A-84D3-0EC28BF6AC3B.jpeg
 
Back
Top Bottom