mapenzi upuuzi.

mapenzi upuuzi.

Kumbe hata wengine wanawakuta, nlizan ni mm peke yangu[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]
 
hili limenikuta mm pia nampenda sana na ninahitaji nimuoe kweli lakin ananisumbua sana mpaka nakosa raha yan ila kuna anaenipenda tena sana lakin hata moyo wangu aumpend kabisa ila kweli nakiri kama kupendwa pale nilipendwa tatzo moyo sasa umependa huku
 
yaani dah! mfano mimi pale nilipopenda mimi ndugu na hata wazazi wake wananipenda sana lakin mhusika kama hana habari kabisa.
kwa masuala mengine sawa lakin swala la mapendo hana habari kabisa.
 
wakati mwingine mawazo mpaka mtu unakonda ila nasema siku nikimuacha nitamuacha kweli kweli na sitokumbuka teena nyuma
 
Oa anayekupenda ili ufurahie maisha,unaowapenda wewe ni chapa ilale tu
 
Back
Top Bottom