Mapenzi usiyawaze!

Mapenzi usiyawaze!

REFA WA JF

Senior Member
Joined
Jul 26, 2026
Posts
141
Reaction score
317
Jifanye hujui kama yako.ukipenda usitoe moyo wako kwa mapenzi.yakizingua na pia nawe usiumie.usiweke iman kwa mapenz eka iman kwa maisha jipende usijitese kisa mapenzi.
 
Kuweka Imani Kwa Mungu
 
Ulizaliwa mwenyewe na utakufa mwenyewe.jifunze kuishi ukijitegemea na mungu wako.
 
Jifanye hujui kama yako.ukipenda usitoe moyo wako kwa mapenzi.yakizingua na pia nawe usiumie.usiweke iman kwa mapenz eka iman kwa maisha jipende usijitese kisa mapenzi.
mbona unanitisha niko kwenye penzi jipya.
 
Back
Top Bottom