Mapenzi vyuo vikuu: 90% ya wanachuo wameoana; 80% wajawazito.

Mapenzi vyuo vikuu: 90% ya wanachuo wameoana; 80% wajawazito.

Its true buddy hata uku kwetu saut mambo ni yale yale ila cwez kuwalaumu kwan ni watu wazma na pia umri unarhusu chamsingi wawe tu waaminifu kujiepusha na magonjwa.
lakini siyo kwa hizo data zaka za asilimia 80 na 90
 
kuna dean wa faculty ya ict katia chuo kimoja (sitotaja jina la chuo) alikuwa anasimulia maswaibu anayoyapata katika kazi yake.
Alisema ya kwamba anahudumiua wanachuo 120, takribani 90% ya wanachuo walio chini yake wanachuo, hususani wanachuo wa mwaka wa tatu (walio mwaka wa mwisho wa masomo) hao wameona.

wanachuo hao wameona au kwa ndoa rasmi au kwa mmoja kuhamia kwa mwingine kwa muda mrefu (wanaishi pamoja) bila hata ya wazazi/walezi wao kujua. Kati ya 'wanandoa' hao, 80% ya wasichana ni wajawazito, wengi wao wakiwa ni wametoka sekondari moja kwa moja.

Kutokana na ndoa na ujauzito wanandoa hao wamekuwa wakipangiana muda au vipindi vya kuhudhuria masoma, kisha hufundishana wao kwa wao. Wasichana waliopata ujauzito kwa mara ya kwanza, kutokana na kashikashi za kulea ujauzito na ugumu wa masomo, wanatamani kuahirisha masoma.

Kibaya zaidi ni kwamba ufaulu umepungua sana (kwa kuwa hawahudhurii masomo ipasavyo) kiasi cha kutishia utendaji kazi wao baadaye.

Je kwa hali kama hii tutarajie wafanyakazi bora?
wewe mwenyewe sio mfanyakazi bora hata kiswahili hujui vizuri,kajipange upya uje vizuri .the issue is too personal to discuss here sir .
 
Napendekeza adhabu ya viboko irudishwe vyuoni kwa hawa wazinzi
 
mambo hayo yapo sana ila sio 90% na 80% sema tu more than 50% ya wanachuo, roughly!!!
 
Japo hayo yapo Naona kama umezidisha eti 90%? . Consequencies za hayo yote ni utata katika ndoa baada ya masomo. wasichana wengi wanaomaliza vyuo watakataliwa na wachumba kwa hofu kuwa si waaminifu. Ndoa nyingi zitasambaratika baada ya muda mfupi. Kwa hivi matatizo mengi ya kijamii yatazuka.
Nashauri kuwe na umoja wa wanawake/waschana katika vyuo kujifunza na kujielimisha nafasi yao na umuhimu wa nafasi yao. Wanawake wakigoma kuwa rahisi wanaume watajifunza adabu na jamii itabadilika na heshima kurudi.Wasomi ni lazima waaminike!


Tatizo linaanzia hapo.
 
Back
Top Bottom