Mapenzi wangu atumie lotion gani

Mapenzi wangu atumie lotion gani

Chige ni vipele t ivyo sijui ni ugonjwa gani ata mi nimechukua hii picha nimweleweshe huyu chizi aliyekatwa masikio na ubongo wake ulocheza kipindi yupo mdogo haelew namwambia ma baby katoka vi rashes uson kama vya baridi alibadilisha mafuta kakazana ukimwi ukimwi wakati yemwenyewe CD 4 zishamshuka hajielewi kazi kuchunguza CD 4 za wengine wakati zake anashindwa kuzi maintain zisishuke
Duduke bhana, halafu unaonyesha una gubu kinoma,[emoji3][emoji3],unaongea bila breki....mkamuone daktari,huwenda ikawa "aleji" pia,msisahau kupima damu kubwa.niamini mimi mkuu.
 
Kwani nikikusimamisha wewe na yeye we ndo una ukimwi kione kilivyokondeana! Kirefu kinasukumwa na upepo tu cheusi hata hakivutii kilivyo vile
Una akili timamu? Mbona unajijibu mwenyewe.
 
Hii siredi niaje wakuu! Mbona kuna mtu naona anajiquotes na kujitukana mwenyewe na kujijibu? Vp kulikoni au server ya JF ina shake! [emoji41]
 
Duduke bhana, halafu unaonyesha una gubu kinoma,[emoji3][emoji3],unaongea bila breki....mkamuone daktari,huwenda ikawa "aleji" pia,msisahau kupima damu kubwa.niamini mimi mkuu.
Daaaah.....
nacheka tu aisee
 
We huwa hueleweki..mara umeolewa ukaachika mara umerudiana na mumeo,mara leo una mpenzi mpya, mara umezalishwa ukatelekezwa..kwa kifupi hujielewi yani.
Huku ndani kuna comedy bila kelele aisee. Burudani haswaaaaaaa
 
Kabla havijaanza kumtoka hivyo vipele alikuwa anatumia mafuta gani
 
Back
Top Bottom