Mapenzi wangu atumie lotion gani

Duduke bhana, halafu unaonyesha una gubu kinoma,[emoji3][emoji3],unaongea bila breki....mkamuone daktari,huwenda ikawa "aleji" pia,msisahau kupima damu kubwa.niamini mimi mkuu.
 
Mleta uzi wamekuvuruga hadi unajijibu mwenyewe.......

Basi sawa.....
 
Kwani nikikusimamisha wewe na yeye we ndo una ukimwi kione kilivyokondeana! Kirefu kinasukumwa na upepo tu cheusi hata hakivutii kilivyo vile
Una akili timamu? Mbona unajijibu mwenyewe.
 
Hii siredi niaje wakuu! Mbona kuna mtu naona anajiquotes na kujitukana mwenyewe na kujijibu? Vp kulikoni au server ya JF ina shake! [emoji41]
 
Duduke bhana, halafu unaonyesha una gubu kinoma,[emoji3][emoji3],unaongea bila breki....mkamuone daktari,huwenda ikawa "aleji" pia,msisahau kupima damu kubwa.niamini mimi mkuu.
Daaaah.....
nacheka tu aisee
 
We huwa hueleweki..mara umeolewa ukaachika mara umerudiana na mumeo,mara leo una mpenzi mpya, mara umezalishwa ukatelekezwa..kwa kifupi hujielewi yani.
Huku ndani kuna comedy bila kelele aisee. Burudani haswaaaaaaa
 
Mods wakaona isiwe tabu, wakala kichwa duduke!
 
Kabla havijaanza kumtoka hivyo vipele alikuwa anatumia mafuta gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…