Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna malezi unaweza kuwa unapewa ukadhani ndivyo malezi bora, wewe katika dunia yako. Lakini akija mtu kutoka nje akatizama ataona dosari nyingi ambazo zitakuja kufanya baadae kuwa na hitilafu kadhaa katika njia ya mafanikio. Wazazi wanawabrain wash watoto kwamba wao ni best.Mkuu, Kwa hiyo unamaanisha sisi hohe hahe hatukuwahi kulelewa vizuri, kupendwa au "kusapotiwa" na mama zetu?..
Kama upendo, support na malezi ya mama ndio ingekuwa ni chanzo cha mafanikio, bhasi kusingekuwa na SIRI ya mafanikio maana watu wengi wangefanikiwa