Mkuu, Kwa hiyo unamaanisha sisi hohe hahe hatukuwahi kulelewa vizuri, kupendwa au "kusapotiwa" na mama zetu?..
Kama upendo, support na malezi ya mama ndio ingekuwa ni chanzo cha mafanikio, bhasi kusingekuwa na SIRI ya mafanikio maana watu wengi wangefanikiwa