mapenzi ya dot com

IGWE

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2011
Posts
9,578
Reaction score
7,774
Nipo hapa kijiweni kama kawaida nang'arisha viatu,washkaji kama kawaida wamejaa kijiweni wakilonga kila mtu alilonalo analiwasilisha na mijadala imepamba moto hapa.Kwa kweli kijiweni kuna raha yake hata kama mishe2 za hapa si za kuingiza mihela mingi kama ya epa lakn kila kitu ni burudani.Moja lililonifurahisha na kunishangaza ni hili

Eti,..kuna jamaa ana mpnz wake wanayependana sana toka kitambo,..sasa jana jion jamaa akiwa maeneo na washkaji akamuona demu wake kaongozana na jamaa mwingine,ikabidi amfuatilie ajue nini hatma yake.Demu na jamaa wakaenda mpaka ghetto kwa mshikaji_hapo jamaa kapagawa...kashindwa akitinga home kwa jamaa_jamaa anaweza akamtoa nduki na bisibisi halafu itakua how come sababu hajamuoa..ikabidi asubiri sehem na washkaji wake,..mara sister duu anatokea anakutana na mshkaji anaaanza kulia eti shetan kamwingia hakua na nia ya kumsaliti mshkaji na kamwe hayuko tayari waachane.

Sasa mimi nashindwa kuelewa huyu mdada amefanya haya yote,tena kwa hiari yake halaf anasema eti shetan,....bado anampenda mshkaji wake na hayuko tayari waachane.......wana jf huu ndio mtindo mpya wa mapenzi?
 
duh! Huyo binti atakuwa anakapepo ka ngono. Sex itakuwa ndio mchezo aupendao duh! mie ningekua ndio mshikaji sina shaka ningemtosa huyo manzi!
 
duh! Huyo binti atakuwa anakapepo ka ngono. Sex itakuwa ndio mchezo aupendao duh! mie ningekua ndio mshikaji sina shaka ningemtosa huyo manzi!

umeona eeeeeh!...yaani hata sielewi ni nini alikua anamaanisha
 
Kwanza hata kumsikiliza huyo dem ni ujinga,nimeamua kutumia hilo neno dem coz nimekereka!
 
Usaliti nje nje! tena akiwa na akili zake timamu kabisa halafu anamsingizia shetani looooh....!
 
hapo mi sisemi kitu, maana ndo angekuwa wangu kabla hajanifikia kunielezea upumbavu wake anakula mawe kama stefano wa kwenye biblia.
 
mapenzi ya dot com siyo sawa na mapenzi ya p.o.box.mapenzi ya dot com unashikilia roho mkononi.mia
 
mapenzi ya dot com siyo sawa na mapenzi ya p.o.box.mapenzi ya dot com unashikilia roho mkononi.mia

Hawa vijana bwana....mhhh kazi wanayo!!

Sisi wa 1947 tulikuwa tunayasoma hayo mambo kwenye hekaya!
 
Bana Mapenzi ni kitu cha ajabu saana.... Tukifuata logic, Morals, kujisafisha, kuji paint kua ni watu tupingao upuuzi au kua na multiple partners lazima tutaponda mdada... but hadithi kama hizi inabidi uwajue wahusika na mahusiano yao since long.... na mazingira ya mahusiano yao kabla ya kujudge... Mimi ninavoelewa kulala na mtu mwingine ambae sio mpenzi wako (sometimes haimaanishi kua humpendi ulo nae - THOU ni tabia chafu na mbaya..); Nielewavo mimi ni tatizo zaidi kama mhusika ambae kafumaniwa anakua na "Don't care attitude" au ku over do emotions za kujifanya kajutia.... Enways... Don't know what to say...
 
Mbona hilo swali wanaliuliza wanawake siku zote???? Nadhani wewe ni mwanamke pekee niliyemsikia akisema hivyo!!
 
Genuinely don't know nisememe nini.... ila tu napenda kua realistic in most cases DC....

Sawa ila karibu wanawake wote niliokutana nao hawaamini kwamba mwanamume anaweza kwenda kufanya sampling na testing huko nje na akawa bado anampenda. Wewe unatokea sayari ipi??
 
Sawa ila karibu wanawake wote niliokutana nao hawaamini kwamba mwanamume anaweza kwenda kufanya sampling na testing huko nje na akawa bado anampenda. Wewe unatokea sayari ipi??

Sayari ya experience... learning from mistakes.. loving... heartbreaks... observation... Great guy friends (with no benefits) and never regretting but learning from every thing nimepitia na walo pitia wa karibu yangu... Best remedy....

Nina msemo fulani... Usipo jifunza kupitia kwa mistakes za wa karibu yako (jamii) utajifunza kwa kupitia mwenyewe....
 
Sawa ila karibu wanawake wote niliokutana nao hawaamini kwamba mwanamume anaweza kwenda kufanya sampling na testing huko nje na akawa bado anampenda. Wewe unatokea sayari ipi??

Mzee mwenzangu, she is my lovebird.....that explains it all....
 
Kwa wanaume na mimi nakubali kuwa sex na love ni vitu viwili tofauti. Kwa mwanamke naomba niwapinge. Ukiona msichana/mkeo katoka nje jua wazi huna chako kwa sababu kwa wanawake hiyo kitu ina involve feelings si tamaa ya mwili pekee unless wale wachache wenye pepo ambao they can't spend a night without. Au hao dot. com ambao ni pesa ndo zinawafanya watembee hovyo. But still hata kama ni pesa naendelea ku doubt kama msichana wa hivyo anakuwa anampenda mtu anayemcheat. This is why wanawake wengi ni waaminifu sana except those who are kibiashara zaidi.

Na nadhani ndio maana wanaume wengi hawana msamaha kwa msichana anayewacheat kwani wanajua hamna penzi tena.
Sawa ila karibu wanawake wote niliokutana nao hawaamini kwamba mwanamume anaweza kwenda kufanya sampling na testing huko nje na akawa bado anampenda. Wewe unatokea sayari ipi??
 
And smart people learn from other people's mistakes.
 
hadi shetani anatushangaa tunavyo msingizia kesi now days
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…