mapenzi ya dot com

mapenzi ya dot com

Kwa wanaume na mimi nakubali kuwa sex na love ni vitu viwili tofauti. Kwa mwanamke naomba niwapinge. Ukiona msichana/mkeo katoka nje jua wazi huna chako kwa sababu kwa wanawake hiyo kitu ina involve feelings si tamaa ya mwili pekee unless wale wachache wenye pepo ambao they can't spend a night without. Au hao dot. com ambao ni pesa ndo zinawafanya watembee hovyo. But still hata kama ni pesa naendelea ku doubt kama msichana wa hivyo anakuwa anampenda mtu anayemcheat. This is why wanawake wengi ni waaminifu sana except those who are kibiashara zaidi.

Na nadhani ndio maana wanaume wengi hawana msamaha kwa msichana anayewacheat kwani wanajua hamna penzi tena.

Nakubaliana na wewe dada kwa 100% ila bado nashindwa kuunga hoja mkono kwa sababu; .... wewe mwenyewe umetuchanganya tayari...

Kama wanawake wengi ni waaminifu kwa sababu wao sex ni love....na wanaume hawana hiyo kitu..kwa hiyo wanacharaza kwa kwenda mbele...Hizo ratio mbona hazilingani? Hao wanaume wengi wanakimbizana na akina nani wakati wanawake wengi wametulia kwa waume zao??
 
ujue kuna vi2 hata shetani havipendi tunamsingizia tu! Yaani atongozwe,akubali,wanapanga miadi,anaenda anamvulia ch***p then wana-do halafu kisingizio shetani.Kwani huyo shetani alimshikia RPG?(Bunduki ya kuharibu majengo makubwa).Sijui jamaa alipata wapi ujasiri wa kuongea naye ningekuwa mimi tunagawana majengo mimi segerea yeye muhimbili maana huu ni ujinga mura.
 
Wanacheat na wanawake wachache ambao mostly ni single na hii inasababisha kuwe na kushare ndio maana ukimwi unaenea kwa kasi

Nimeibamba you tube hii;
"Don't get sex confused with love or you'll be in for a hell of a down fall. Girls usually do. As soon as they have sex they assume it's love, Nope 9 times out of 10 is just lust not love. Know the difference and you'll avoid alot of heart ache, trust me."
 
Wanacheat na wanawake wachache ambao mostly ni single na hii inasababisha kuwe na kushare ndio maana ukimwi unaenea kwa kasi

Dada,

Una maana kwamba kuna wanawake wanaolewa in their 20s na kufikia menopause bila kugawa kitumbua nje????
 
Naomba nikiri kuwa cheating ni siri ya mtu ila kwa wanaume wengi hamuoni aibu kucheat openely ndio maana nikisema mnaongoza kucheat nina ushaidi wa kutosha. I have knowm many men around me who are cheaters. Kinyume na marafiki zangu na wanawake around me including my mum most of them sijawahi sikia wanacheat unless they are very smart. Na hata wewe kuwa fair ni wanawake wangapi unaowajua wako kwenye ndoa ni cheaters? Ni wachache na wanajulikana na jamii nzima kwa sababu ni unusual for women but usual for men!

Research ya kwanza fanya kwenye familia yako, mama yako na baba yako kati yao nani umeshamsikia amecheat? Mjomba ako na shangazi ako nani kati yao umeshamsikia anacheat? Dada yako na shemeji yako nani kati yao umeshamsikia anacheat? Wewe na mkeo nani keshapata kashfa ya cheating (hapo hata kama bado hujakamatwa)?

Dada,

Una maana kwamba kuna wanawake wanaolewa in their 20s na kufikia menopause bila kugawa kitumbua nje????
 
Unajua tatzo n kwamba cc wafumaniaj 2najtakia maumiv wenyewe. We utamfuatliaje dem, mke, au mume wako kujua anakoelekea? Hii inakuwa kama ufrauni wa sasa wa m2 kukmblia cm ya mpenziwe inapoita. Niulze "HIVI NI NINI HASA UNACHOTAFUTA" ni kukuza au kulbomoa penz?
Kwangu mimi hata cm ya mpenz wangu siisogelei koz najua mimi sio wakwanza kwake so, anakla sababu ya mimi kuwa wa mwsho kwake au la! Kwasababu mi sio wa kwanza kwake kwann nimbanembane?
 
Nipo hapa kijiweni kama kawaida nang'arisha viatu,washkaji kama kawaida wamejaa kijiweni wakilonga kila mtu alilonalo analiwasilisha na mijadala imepamba moto hapa.Kwa kweli kijiweni kuna raha yake hata kama mishe2 za hapa si za kuingiza mihela mingi kama ya epa lakn kila kitu ni burudani.Moja lililonifurahisha na kunishangaza ni hili

Eti,..kuna jamaa ana mpnz wake wanayependana sana toka kitambo,..sasa jana jion jamaa akiwa maeneo na washkaji akamuona demu wake kaongozana na jamaa mwingine,ikabidi amfuatilie ajue nini hatma yake.Demu na jamaa wakaenda mpaka ghetto kwa mshikaji_hapo jamaa kapagawa...kashindwa akitinga home kwa jamaa_jamaa anaweza akamtoa nduki na bisibisi halafu itakua how come sababu hajamuoa..ikabidi asubiri sehem na washkaji wake,..mara sister duu anatokea anakutana na mshkaji anaaanza kulia eti shetan kamwingia hakua na nia ya kumsaliti mshkaji na kamwe hayuko tayari waachane.

Sasa mimi nashindwa kuelewa huyu mdada amefanya haya yote,tena kwa hiari yake halaf anasema eti shetan,....bado anampenda mshkaji wake na hayuko tayari waachane.......wana jf huu ndio mtindo mpya wa mapenzi?
Hapo kwenye redi, jamaa hawakumwelewa huyo demu, SHETANI KAMWINGIA. chakujiuliza ni alipitia nyuma au mbele?
 
ujue kuna vi2 hata shetani havipendi tunamsingizia tu! Yaani atongozwe,akubali,wanapanga miadi,anaenda anamvulia ch***p then wana-do halafu kisingizio shetani.Kwani huyo shetani alimshikia RPG?(Bunduki ya kuharibu majengo makubwa).Sijui jamaa alipata wapi ujasiri wa kuongea naye ningekuwa mimi tunagawana majengo mimi segerea yeye muhimbili maana huu ni ujinga mura.

ahahahahahaaaaaaaaaaaa!...watoto wa mjini bana,...sisi wa kijijini tunapotezea tu
 
Hapo kwenye redi, jamaa hawakumwelewa huyo demu, SHETANI KAMWINGIA. chakujiuliza ni alipitia nyuma au mbele?

hapo sasa,...et shetani...........
 
Kwa wanaume na mimi nakubali kuwa sex na love ni vitu viwili tofauti. Kwa mwanamke naomba niwapinge. Ukiona msichana/mkeo katoka nje jua wazi huna chako kwa sababu kwa wanawake hiyo kitu ina involve feelings si tamaa ya mwili pekee unless wale wachache wenye pepo ambao they can't spend a night without. Au hao dot. com ambao ni pesa ndo zinawafanya watembee hovyo. But still hata kama ni pesa naendelea ku doubt kama msichana wa hivyo anakuwa anampenda mtu anayemcheat. This is why wanawake wengi ni waaminifu sana except those who are kibiashara zaidi.
Na nadhani ndio maana wanaume wengi hawana msamaha kwa msichana anayewacheat kwani wanajua hamna penzi tena.
kweli kabisa ulichosema mamy hiyo ni fact, sex kwa wanawake ina involve emortion sana unless mtu yuko after pesa or something else
 
Sayari ya experience... learning from mistakes.. loving... heartbreaks... observation... Great guy friends (with no benefits) and never regretting but learning from every thing nimepitia na walo pitia wa karibu yangu... Best remedy....
Nina msemo fulani... Usipo jifunza kupitia kwa mistakes za wa karibu yako (jamii) utajifunza kwa kupitia mwenyewe....
well said mamy, experience imeku build to become one of the few best women i know
 
Back
Top Bottom