Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,626
Kwa wanaume na mimi nakubali kuwa sex na love ni vitu viwili tofauti. Kwa mwanamke naomba niwapinge. Ukiona msichana/mkeo katoka nje jua wazi huna chako kwa sababu kwa wanawake hiyo kitu ina involve feelings si tamaa ya mwili pekee unless wale wachache wenye pepo ambao they can't spend a night without. Au hao dot. com ambao ni pesa ndo zinawafanya watembee hovyo. But still hata kama ni pesa naendelea ku doubt kama msichana wa hivyo anakuwa anampenda mtu anayemcheat. This is why wanawake wengi ni waaminifu sana except those who are kibiashara zaidi.
Na nadhani ndio maana wanaume wengi hawana msamaha kwa msichana anayewacheat kwani wanajua hamna penzi tena.
Nakubaliana na wewe dada kwa 100% ila bado nashindwa kuunga hoja mkono kwa sababu; .... wewe mwenyewe umetuchanganya tayari...
Kama wanawake wengi ni waaminifu kwa sababu wao sex ni love....na wanaume hawana hiyo kitu..kwa hiyo wanacharaza kwa kwenda mbele...Hizo ratio mbona hazilingani? Hao wanaume wengi wanakimbizana na akina nani wakati wanawake wengi wametulia kwa waume zao??