Bollo Yang
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 440
- 51
- Thread starter
-
- #21
WOS nakubaliana na wewe 100% hii dunia ni ya ICT....
nimeshaona mahusiano mengi yaliyotokana na mtandao na yakazaa ndoa tena ndoa za heshima wala hakuna tatizo.
ulimwengu huu watu hatuna hata muda wa kwenda kushiriki michiriku na midundiko basi tutakuwa hatupati wenza...........
hiyo issue umei-frame vizuri thanks
da imebidi nichekeHAJUI KUWA SASA NI DUNIA YA ICT LOL...
Anadhani bado watu wanakutana kisimani, kwenye kukata majani, kwenye ngoma, kwenye mchiriku.....endeleza
Labda tumsaidie ku frame vizuri ishu:
Wana JF, MKITAKA KUPATA MWANAMKE/MWANAUME AMBAYE ANAFAA , NI WAPI MAHALI PAZURI?........
Mara nyingi baadhi ya wanaume wa kitanzania (mimi mmojawapo) tunaamini kuwa mwanamke utayeanzisha mahusiano nae kupitia facebook ama mtandaoni kwa ujumla ni kicheche!!! Ingawa yeye (Mwanamke) anaweza kuwa very serious kwenye hiyo relationship...
Mnabishaaaaaaaa??
HAJUI KUWA SASA NI DUNIA YA ICT LOL...

WOS kuwa makini huyu jamaa
Mnabishaaaaaaaa??[/QUOTE]
Acha kuongea ngera...lete substance hapa acha kutafuta mabishano..Sasa unataka kubishana na nani na huo ndio upeo wako wa kufikiri?
That word,it has been ages sijalisikia!Thank you for making my day!Imenikumbusha nyumbani!
Wana JF, MKITAKA KUPATA MWANAMKE/MWANAUME AMBAYE ANAFAA , NI WAPI MAHALI PAZURI?........
kweli mdau kwa ushauri wangu ndugu angali kwa macho ya mbali kimeo kwenye facebook anaonekana kwa kuifanyia analysis tuu profile ya inside out mdauwewe kuwa wazi bana hayo mambo ya kawaida...umepata kimeo chako huko sasa unatafuta mwenye experience hapa unataka kujua huwa inakuwaje..... jidadavue acha ku-beat around the bush
well said mumy!Mnabishaaaaaaaa??[/QUOTE]
Acha kuongea ngera...lete substance hapa acha kutafuta mabishano..Sasa unataka kubishana na nani na huo ndio upeo wako wa kufikiri?
thats is not true for all,may be for you, in short sio wote wana kuwa sirious some of them.so ma frnd avoid generalizations ok?Mara nyingi baadhi ya wanaume wa kitanzania (mimi mmojawapo) tunaamini kuwa mwanamke utayeanzisha mahusiano nae kupitia facebook ama mtandaoni kwa ujumla ni kicheche!!! Ingawa yeye (Mwanamke) anaweza kuwa very serious kwenye hiyo relationship...
Mnabishaaaaaaaa??
Sio lazima, eti kwa vile umemkuta kwenye mtandao wa JF au mingine basi ni vicheche,mbona wapo mabikira kibao tu humu? unajua, kama hujui humu kuna wale akinadada ambao face to face hawezi kuongea na wewe, ila angalau hapa atajaribu kujibu, au una reference (mifano ilio hai) kutetea hoja yako, mzee?tena tuongee taratibu wasije wakakusikia, na sisi je wanaume wa humu ni wahuni? maana penye malaya/kicheche sharti awepo na mhuni.Kwa mawazo yangu UMETELEZA kidooogo.