Mapenzi ya facebook!

Mapenzi ya facebook!

Mara nyingi baadhi ya wanaume wa kitanzania (mimi mmojawapo) tunaamini kuwa mwanamke utayeanzisha mahusiano nae kupitia facebook ama mtandaoni kwa ujumla ni kicheche!!! Ingawa yeye (Mwanamke) anaweza kuwa very serious kwenye hiyo relationship...
Mnabishaaaaaaaa??

nabishaaaa!!!huo ndo mtazamo wako,unapoingia kwenye mitandao akili yako inakuwa kingono zaidi!!
 
Back
Top Bottom