Mpenzi wangu anapenda sana kutetemekewa kiasi kwamba hata kama ana makosa yeye mi ndo nimuombe msamaha nachukizwa sana na hii tabia mi napenda kumuheshimu zaidi kuliko kumtetemekea........msaada wenu please!

Jamen thread ya mwaka 47 imeibukaje tena lol...Tupa kule
Nani anataka mtu asiyeweza kujishusha....
Akatafute mpz wa hivyo kijijini kwao
Jamen thread ya mwaka 47 imeibukaje tena lol...

Nshamwambia sana hadi nimechoka, mambo tu ya hapa na pale akiongea kitu nikimwambia cijapenda ananuna hadi mi ndo nianze tena kubembeleza.....
huyu ni fiance, huz to be mungu akipenda
Mpenzi wangu anapenda sana kutetemekewa kiasi kwamba hata kama ana makosa yeye mi ndo nimuombe msamaha nachukizwa sana na hii tabia mi napenda kumuheshimu zaidi kuliko kumtetemekea........msaada wenu please!
nimeshatembea na hapa ndo nimefika sasa......
anatakiwa awe mkali kama huyo dada kwenye avatar yakoHana mapenz ya dhati kwako. Tupa kulee omba upya..kwenye ndoa siku ukiwa na hamu af mnabif utaita maji mma,maana atakwambia nilambe kisigino ndo tunanhii.. Omba upya,au omba abadilike.. Kaaaz n kwako
Mpenzi wangu anapenda sana kutetemekewa kiasi kwamba hata kama ana makosa yeye mi ndo nimuombe msamaha nachukizwa sana na hii tabia mi napenda kumuheshimu zaidi kuliko kumtetemekea........msaada wenu please!
Nyie nanyi mnayafanya makuuubwa mambo ya enzi hizo hata sikumbuki nilikuwa namzungumzia nani aaaahhh