Mapenzi ya hivi ni kero sana

Mapenzi ya hivi ni kero sana

Love and relationships isn't about us being the best,its about tying our level best to make one another better, in this case ur fiance is the one that needs that help from u thou he may not know it. No one is that perfect, so my dia Evelyn Salt kama umezunguka na hapo ndo umefika, u have to keep trying to make him change.
 
Last edited by a moderator:
Mmh!, mwambie hali halisi. In fact inaonesha unamwogopa sana licha ya kuwa ni mpenz wako.
 
jifanye kama unamuacha hv halafu subiri matokeo ndo utajua nani kazama kwa mwenzie!!!
 
tena yanakera mnoooooo! unakuta mtu mbishi sijui nifananishe na nini... kosa akose yeye but anakua mkali kweli na kujishusha hataki eti kisa ni mwanaume kwani manaume hawakosei na kukosolewa na wanawake hawapendi........ i hate this..
 
Mpenzi wangu anapenda sana kutetemekewa kiasi kwamba hata kama ana makosa yeye mi ndo nimuombe msamaha nachukizwa sana na hii tabia mi napenda kumuheshimu zaidi kuliko kumtetemekea........msaada wenu please!

Haha,, kumbe unae mpenzi swaiba,ilikua 2012, vp keshakuwowa au
 
Ha ha haaa umenichekesha sana mamy..watu wamekomalia sredi na ww ushamsahau..mi kuna kipindi nlimliliaga sana mwanaume hadi nkataka kunywa sumu lakini eti saiv hata jina la huyo mkaka silikumbuki..duh

Hahah,,kwel ww DramaQueen
 
huyo ndo wale wanaoamin katka mfumo dume. Hiyo ni tabia tu na as far as psychology is concerned any behaviour can be learned and unlearned. Kaa uzungumze nae vizuri mweleze thaman yako na maana. Mpenz maana yake ni mtu wa karibu ambae inabid akushauri, akufariji nk nk. Huyu anataka akujengee inferiority complex ambayo ni mbaya sana katka maisha ya binadam
 
hahahah! hii thread sijui imefukunyuliwa wapi ?
 
Mpenzi wangu anapenda sana kutetemekewa kiasi kwamba hata kama ana makosa yeye mi ndo nimuombe msamaha nachukizwa sana na hii tabia mi napenda kumuheshimu zaidi kuliko kumtetemekea........msaada wenu please!
Title ya hii thread ilitakiwa kuandikwa "niko utumwani"

Ukweli ni kwamba wewe umekuwa mtumwa na utaendelea kuwa mtumwa!
Hapo hupendwi kabisa na mtu asikufariji kuwa unapendwa maana mwanaume akipenda hayo yote huwezi kuyaona na angekuwa anayafanya yeye!

Halaf bahati nzuri anajua huna pa kukimbilia na unampenda sana ndio maana ana kufanyia hayo yote!

Pole sana Lakini sijui Kama huko tayari kutoka utumwani lasivyo jiandae kisaikolojia siku utamfumania na Wewe utalazimika kupiga magoti na kuomba msamaha!

Unajua ukitaka kuwa na mtumwa mzuri hakikisha kwanza
ana kupenda na ndicho jamaa alicho fanikiwa!
Hapo bado ujaelekea ndani ya ndoa jaribu kupata picha!
Yani kukosa akosee yeye halaf Wewe ndio unaomba msamha? Daaaaaa
Una stahili kuchapwa viboko!
 
1405410134878.jpg
tena yanakera mnoooooo! unakuta mtu mbishi sijui nifananishe na nini... kosa akose yeye but anakua mkali kweli na kujishusha hataki eti kisa ni mwanaume kwani manaume hawakosei na kukosolewa na wanawake hawapendi........ i hate this..
1405410134878.jpg
 
alilelewa na single parent nini..tena sana sana baba..
me too na fall under such category...ila nikiona sasa wife kakereka...nafululiza malori matatu ya am sorry...
ata akipaliwa..msamaha naomba mie...baada ya miiezi kadhaa,,back to square one:A S wink:
 
Back
Top Bottom