Mapenzi ya kibabe na mjeda

Mapenzi ya kibabe na mjeda

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
915
Reaction score
1,082
Dah nilitongozwa na mjeda, nikaona simple kukubali siku zikapita penzi likakolea ikabidi ahack namba yangu bila mimi kujua.

Hakuna kitu kilichokuwa kinaninyima amani pale alipokuwa akinambia kama risasi tutapigwa wote maana boyfriend wangu namjua akili zake, daah nilijuta but niliamua kukaza kiume ila huku moyo ukiwa unadundadunda.

Lengo la kuwa na mimi nikwamba boyfriend wake hana ujuzi wowote na hayuko Romantic. Dooh ngoja ni stop uzi huu natoa siri za kambi
 
Mjeda ana nafuu kuliko Mchawi. Walio katika mapenzi na wanawake wachawi wakija hapa kutoa shuhuda zao unaweza kuufuta huu uzi wako sababu ni Soft mno
 
Back
Top Bottom