Mapenzi ya kisela

Nitamuacha sio siri
Mungu akusamehe yaani mwanamke upo nae mda mrefu ushamtumia unavyotaka Leo anataka ndoa unasema umuache utafute mwanamke mwingine kiukweli ndio maana nayachukia mapenz nawachukia sana Wanaume Mungu akulaani nakwambia yaani badala ushukuru Mungu kakupa mwanamke anajua thamani yako wewe unaona boya nakuambia ipo siku utavuna unachokipanda[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah yan wewe post zako nyingi unaandikaga kwa hisia sana. Inaelekea ulishatendwa na umeshuhudia maumivu
 
Kiukweli hujakosea Na ndomana nikiona mwanamke mwenzangu anaumizwa Na mwanaume namhurumia ananikumbusha ya nyuma [emoji26] [emoji26] [emoji26] dah

Sent using Jamii Forums mobile app
Daah pole sana. Lakini kila kitu kina sababu. So huwezi kujudge mapenzi yao. Watu wanaleta thread za kutunga hapa. Unaweza ukawa unalalamika kumbe wanakuchora tu
 
Daah pole sana. Lakini kila kitu kina sababu. So huwezi kujudge mapenzi yao. Watu wanaleta thread za kutunga hapa. Unaweza ukawa unalalamika kumbe wanakuchora tu
Kwann nitunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…