DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
toa vigezoNitafutieni binti mzuri anayejielewa huku jf
watakutafuta
Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
toa vigezoNitafutieni binti mzuri anayejielewa huku jf
Mungu akusamehe yaani mwanamke upo nae mda mrefu ushamtumia unavyotaka Leo anataka ndoa unasema umuache utafute mwanamke mwingine kiukweli ndio maana nayachukia mapenz nawachukia sana Wanaume Mungu akulaani nakwambia yaani badala ushukuru Mungu kakupa mwanamke anajua thamani yako wewe unaona boya nakuambia ipo siku utavuna unachokipanda[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]Nitamuacha sio siri
Ata kwa tilioni hutampata labda asione hiyo post yako atakupenda ila kama kaiona poleNiko single, sijawahi kuoa wala kufumaniwa, sipendi dramma
Kwanini doris wanguAta kwa tilioni hutampata labda asione hiyo post yako atakupenda ila kama kaiona pole
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]umenikera yaani umuache mwanamke anaekupenda kwa dhati kisa kusema umuoe hivi nyie binadamu mpojeKwanini doris wangu
Daah yan wewe post zako nyingi unaandikaga kwa hisia sana. Inaelekea ulishatendwa na umeshuhudia maumivuMungu akusamehe yaani mwanamke upo nae mda mrefu ushamtumia unavyotaka Leo anataka ndoa unasema umuache utafute mwanamke mwingine kiukweli ndio maana nayachukia mapenz nawachukia sana Wanaume Mungu akulaani nakwambia yaani badala ushukuru Mungu kakupa mwanamke anajua thamani yako wewe unaona boya nakuambia ipo siku utavuna unachokipanda[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana kuna sababu zingine amesababisha yeye[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]umenikera yaani umuache mwanamke anaekupenda kwa dhati kisa kusema umuoe hivi nyie binadamu mpoje
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii nimeipenda mkuu, ntaitumiaNiko single, sijawahi kuoa wala kufumaniwa, sipendi dramma
Kiukweli hujakosea Na ndomana nikiona mwanamke mwenzangu anaumizwa Na mwanaume namhurumia ananikumbusha ya nyuma [emoji26] [emoji26] [emoji26] dahDaah yan wewe post zako nyingi unaandikaga kwa hisia sana. Inaelekea ulishatendwa na umeshuhudia maumivu
Post yako inajieleza hakuna sababu ila nakwambia ukimwacha atalia ataumia ila Mungu atamfuta machozi yake naatampa itaji la moyo wake halafu tuone wewe safari yako utaishia wapiHapana kuna sababu zingine amesababisha yeye
Tumeshatenga hata hivoPost yako inajieleza hakuna sababu ila nakwambia ukimwacha atalia ataumia ila Mungu atamfuta machozi yake naatampa itaji la moyo wake halafu tuone wewe safari yako utaishia wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah pole sana. Lakini kila kitu kina sababu. So huwezi kujudge mapenzi yao. Watu wanaleta thread za kutunga hapa. Unaweza ukawa unalalamika kumbe wanakuchora tuKiukweli hujakosea Na ndomana nikiona mwanamke mwenzangu anaumizwa Na mwanaume namhurumia ananikumbusha ya nyuma [emoji26] [emoji26] [emoji26] dah
Sent using Jamii Forums mobile app
Uyoatakaenichora atajijua ila aya poaDaah pole sana. Lakini kila kitu kina sababu. So huwezi kujudge mapenzi yao. Watu wanaleta thread za kutunga hapa. Unaweza ukawa unalalamika kumbe wanakuchora tu