MAPENZI YA KUKUTANA MTANDAONI

MAPENZI YA KUKUTANA MTANDAONI

Watu bado hawajastukia, mitandaoni kuna vitu adimu sana, ni wewe kujieleza tu. wanakuchukulia jinsi unavyoingia, Ila ukimpata wa jinsi yako kimtazamo, utakula raha mpaka hata mzee mengi ata kumaindi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwenye rangi nyekundu umebug...Mimi nadhani kila mtu aamini anachoamini basi, kama unaona wa mtandaoni hawakufai tafuta wa mtaani, ukiona mtaani hawakufai tafuta mtandaoni, Kanisani, sijui Msikitni ,Club, Hotelini ama hata barabarani
tena humo ndo wanafiki wamejaa
 
Napiga simu kutoka makete.... Bwana mim ni kijana wa miaka..... Namtafta mchumba wa miaka 20's kama atakua tayari naomba anitafute kwenye namba 07.......

Hahaha!! Mbona watu wa hivi walifanikisha kukutanisha wanandoa kadhaa! Au nayo haikua mitandao???

Sijui wahenga mmenielewa, haswa wale wahusika waliokua wakipendelea kusikiliza RFA

Hivi hicho kipindi bado kipo au kime pass away ?
 
Back
Top Bottom