Sema kweli jiraniIla siku hizi unajitahidi kuuchuna aisee
tena humo ndo wanafiki wamejaaHapo kwenye rangi nyekundu umebug...Mimi nadhani kila mtu aamini anachoamini basi, kama unaona wa mtandaoni hawakufai tafuta wa mtaani, ukiona mtaani hawakufai tafuta mtandaoni, Kanisani, sijui Msikitni ,Club, Hotelini ama hata barabarani
Kwahiyo wanaenda kutongozana kama kanisani?tena humo ndo wanafiki wamejaa
Hivi hicho kipindi bado kipo au kime pass away ?Napiga simu kutoka makete.... Bwana mim ni kijana wa miaka..... Namtafta mchumba wa miaka 20's kama atakua tayari naomba anitafute kwenye namba 07.......
Hahaha!! Mbona watu wa hivi walifanikisha kukutanisha wanandoa kadhaa! Au nayo haikua mitandao???
Sijui wahenga mmenielewa, haswa wale wahusika waliokua wakipendelea kusikiliza RFA
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa hata cjuii,Hivi hicho kipindi bado kipo au kime pass away ?