NDAMANDOO JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 254 Reaction score 126 Aug 7, 2012 #1 Kwa wale wenzangu na mimi check hii then utaamua mwenyewe. kwa mtaji huu tutafikaaaaaaaaaaaaaa???????
Kwa wale wenzangu na mimi check hii then utaamua mwenyewe. kwa mtaji huu tutafikaaaaaaaaaaaaaa???????
C CAY JF-Expert Member Joined Jan 20, 2011 Posts 505 Reaction score 105 Aug 7, 2012 #2 Nakupenda ila chipsi na hela sitaleta!
Scofied JF-Expert Member Joined Jun 5, 2012 Posts 2,456 Reaction score 1,673 Aug 7, 2012 #3 tupa kula.....dalili za ukibaka hizo ipo siku atakukaba usiku mmelala..
NDAMANDOO JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 254 Reaction score 126 Aug 7, 2012 Thread starter #4 CAY said: Nakupenda ila chipsi na hela sitaleta! Click to expand... Kama hutatoa basi mapenzi mimi na wewe basi mapenzi gani bila Chips? watu watakusaidia broo na hutapata ile kitu yetu ambayo ndio inayokupeleka huko hostel
CAY said: Nakupenda ila chipsi na hela sitaleta! Click to expand... Kama hutatoa basi mapenzi mimi na wewe basi mapenzi gani bila Chips? watu watakusaidia broo na hutapata ile kitu yetu ambayo ndio inayokupeleka huko hostel
webondo JF-Expert Member Joined Apr 29, 2012 Posts 1,713 Reaction score 383 Aug 7, 2012 #5 Hivi hadi siku za leo wanaume wanaingizwa mjini kwa style hizo!!
hovyohovyo JF-Expert Member Joined Jul 8, 2012 Posts 547 Reaction score 159 Aug 7, 2012 #6 Duh!! Yale yale ya wanandembendembe, Kanga moja 'Laki si pesa'. Kazi ipo kwel kwel.
NDAMANDOO JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 254 Reaction score 126 Aug 7, 2012 Thread starter #7 webondo said: Hivi hadi siku za leo wanaume wanaingizwa mjini kwa style hizo!! Click to expand... haswaaaaaa tena kwa sana na live bila chenga.
webondo said: Hivi hadi siku za leo wanaume wanaingizwa mjini kwa style hizo!! Click to expand... haswaaaaaa tena kwa sana na live bila chenga.
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Aug 7, 2012 #8 Wakiwezeshwa wanaweza!
afrodenzi Platinum Member Joined Nov 1, 2010 Posts 18,150 Reaction score 9,255 Aug 7, 2012 #9 Kazi ipo
dri ma Senior Member Joined Aug 5, 2012 Posts 106 Reaction score 16 Aug 7, 2012 #10 hapo kwan w unaona lov kwel, hapo poch 2
Mbimbinho JF-Expert Member Joined Aug 1, 2009 Posts 8,328 Reaction score 7,784 Aug 7, 2012 #11 No chips kuku x4 na vocha = No honey = No love
NDAMANDOO JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 254 Reaction score 126 Aug 7, 2012 Thread starter #12 dri ma said: hapo kwan w unaona lov kwel, hapo poch 2 Click to expand... Ndio modern society hiyo. pesa mbele mapenzi baadaye.
dri ma said: hapo kwan w unaona lov kwel, hapo poch 2 Click to expand... Ndio modern society hiyo. pesa mbele mapenzi baadaye.
Bi nyakomba JF-Expert Member Joined Mar 23, 2012 Posts 385 Reaction score 104 Aug 7, 2012 #13 hahahaahah mbavu zangu,
NDAMANDOO JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 254 Reaction score 126 Aug 7, 2012 Thread starter #14 Mbimbinho said: No chips kuku x4 na vocha = No honey = No love Click to expand... kutoa ni moyo si utajiri!!!!
Mbimbinho said: No chips kuku x4 na vocha = No honey = No love Click to expand... kutoa ni moyo si utajiri!!!!
kvelia JF-Expert Member Joined Jun 24, 2009 Posts 246 Reaction score 44 Aug 7, 2012 #15 Wa aina hii anatofauti gani na bitch? Ni wale wale bana.
D Deofm JF-Expert Member Joined Feb 27, 2012 Posts 383 Reaction score 68 Aug 7, 2012 #16 black mailer
webondo JF-Expert Member Joined Apr 29, 2012 Posts 1,713 Reaction score 383 Aug 7, 2012 #17 NDAMANDOO said: haswaaaaaa tena kwa sana na live bila chenga. Click to expand... Nini manake, utegemezi au!!
NDAMANDOO said: haswaaaaaa tena kwa sana na live bila chenga. Click to expand... Nini manake, utegemezi au!!
NDAMANDOO JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 254 Reaction score 126 Aug 7, 2012 Thread starter #18 afrodenzi said: kazi ipo Click to expand... pesa mbele kama tai na mapenzi nyuma kama makalio.
felinda JF-Expert Member Joined Jun 23, 2012 Posts 351 Reaction score 136 Aug 7, 2012 #19 no chips no love kama hutaki chapa lapa
R Ritakahama JF-Expert Member Joined Jul 5, 2012 Posts 758 Reaction score 409 Aug 7, 2012 #20 hahahha nimeipenda sana hii napenda toto chuo then natakiwa toa tumizi na muda napimiwa shugadady asijekuta veve
hahahha nimeipenda sana hii napenda toto chuo then natakiwa toa tumizi na muda napimiwa shugadady asijekuta veve