Mapenzi ya kweli haya hapa.

Mapenzi ya kweli haya hapa.

NDAMANDOO

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Posts
254
Reaction score
126
Kwa wale wenzangu na mimi check hii then utaamua mwenyewe.

185955_396700260388999_862555091_n.jpg

kwa mtaji huu tutafikaaaaaaaaaaaaaa???????
 
Nakupenda ila chipsi na hela sitaleta!
 
tupa kula.....dalili za ukibaka hizo ipo siku atakukaba usiku mmelala..
 
Nakupenda ila chipsi na hela sitaleta!

Kama hutatoa basi mapenzi mimi na wewe basi mapenzi gani bila Chips? watu watakusaidia broo na hutapata ile kitu yetu ambayo ndio inayokupeleka huko hostel
 
Hivi hadi siku za leo wanaume wanaingizwa mjini kwa style hizo!!
 
Duh!! Yale yale ya wanandembendembe, Kanga moja 'Laki si pesa'. Kazi ipo kwel kwel.
 
Wa aina hii anatofauti gani na bitch? Ni wale wale bana.
 
hahahha nimeipenda sana hii napenda toto chuo then natakiwa toa tumizi na muda napimiwa shugadady asijekuta veve
 
Back
Top Bottom