Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,348
- 5,841
We pia huendi kiuno unatakiwa ushikwe hcho sio ujishike mwenyeweHuendi mbinguni
Kwani mbinguni inatakiwa niingie nimeshikwa kiuno?We pia huendi kiuno unatakiwa ushikwe hcho sio ujishike mwenyewe
Hapo sasa[emoji23]Kwani mbinguni inatakiwa niingie nimeshikwa kiuno?
Ni sign ya upendo wa kweliKwani mbinguni inatakiwa niingie nimeshikwa kiuno?
Sasa hapa wamependana kweli[emoji23]KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
NDOA NI WIZI
NDOA NI BIASHARA YA UTUMWA
KATAA NDOA
Hizo ni story za kusadikika wanataka;Sasa hapa wamependana kweli[emoji23]
Ukiachana na story ambazo kwa mtazamo wako ni za kusadikika,, huyo Mwamba hapo ni mwana muziki kutokea nchini Uganda na hiyo story nj ya kweli kabisa alihadithia yeye mwenyeweHizo ni story za kusadikika wanataka;
1 Tall
2 Dark
3 Handsome
4 Mwenye Pesa
5 Anayejua kucare
6 Hamfuatilii
7 Anatuma text za kumjali Asubuhi mchana jioni
8 Mwenye Ubad boy kidogo
9 Vingine vingi hawajui wanavyovitaka
Kiufupi:
KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
NDOA NI WIZI
NDOA NI BIASHARA YA UTUMWA
KATAA NDOA
Au aliungua na moto alipokuwa mdogoShida inaanzia hapo kwenye kuchanganya sura mbaya na ugonjwa!huyo mtu hana sura mbaya huyu mtu anasumbuliwa na special rarely disease
Hapana,sema anazaliwa hivyo na malformation na zinazidi kudevelop hata akiwa dunianiAu aliungua na moto alipokuwa mdogo
Sawa DOCTORHapana,sema anazaliwa hivyo na malformation na zinazidi kudevelop hata akiwa duniani
[emoji23][emoji23][emoji23]Ahaa, basi huyo binti apelekwe 77 kwenye maonesho ya mahusiano na ndoa